yoweri

Yoweri Kaguta Tibuhaburwa Museveni (born September 15, 1944) is a Ugandan politician who has been President of Uganda since 1986. Museveni was involved in rebellions that toppled Ugandan leaders Idi Amin (1971–79) and Milton Obote (1980–85) before he captured power in the 1980s.
In the mid- to late 1990s, Museveni was celebrated by the West as part of a new generation of African leaders. During Museveni's presidency, Uganda has experienced relative peace and significant success in battling HIV/AIDS.
Museveni's presidency has been marred by involvement in the civil war in the Democratic Republic of the Congo and other Great Lakes region conflicts; the rebellion in Northern Uganda by the Lord's Resistance Army, which caused a humanitarian emergency; and the suppression of political opposition and constitutional amendments scrapping presidential term limits (2005) and the presidential age limit (2017).

View More On Wikipedia.org
  1. Roving Journalist

    Rais Yoweri Museveni ampa zawadi Rais Samia ikulu ya Zanzibar

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, Rais Yoweri Museveni wa Uganda na Rais William Ruto wa Kenya wakiangalia picha ya Viongozi wa Nchi mbalimbali za Afrika wakati Rais Museveni alipomkabidhi Rais Samia zawadi hiyo baada ya mazungumzo yao Ikulu ndogo Tunguu Zanzibar...
  2. Wadiz

    Rais Yoweri Museveni akiwa na umri wa miaka 79 na miaka 37 ya Urais wa nchi ya Uganda

    Mwasibota Bazzukulu! Ndugu Rais Yoweri Kaguta K Museveni aliingia madarakani kama Rais nchini Uganda kwa njia ya mtutu wa bunduki, kama muasi dhidi ya serikali ya Milton Obote mwaka 1986, wakati huo Bwana Museveni akiwa na umri wa miaka 42, tangu wakati huo amekuwa madarakani kama Rais wa...
  3. K

    Mtoto wa Rais Samia, Abdul ana cheo gani Serikalini/Wizara ya Nishati hadi akutane na Rais Museveni?

    Rais Mseven wa Uganda amekutana na ujumbe wa serikali ya Tanzania ambao umeongozwa na mtoto wa wa kiume wa Rais Samia. Uzuri wa taarifa hii imethibitishwa rasmi na ofisi ya Mseveni mwenyewe kupitia akaunti ya raisi. Swali- mtoto huyu wa rais wetu, ana cheo gani serikalini? Kama taarifa hii...
  4. Papaa Mobimba

    KWELI Mke wa Dkt. Kizza Besigye, Mpinzani mwenye nguvu kubwa Kisiasa Uganda, alikuwa mchumba wa Rais Yoweri Museveni

    Kizza Besigye na Yoweri Museveni walikuwa marafiki walioshibana wakati wa Vita ya Msituni Uganda kumuondoa Milton Obote miaka ya 1980, na Dkt. Besigye aliwahi kuwa daktari binafsi wa Museveni na wanajeshi wengine waliokuwa msituni pamoja na Museveni Rais Museveni na Winnie Byanyima walikuwa...
  5. Suley2019

    UZUSHI Rais Yoweri Museveni amelazwa ICU

    Salaam Ndugu zangu, Nimekutana na taarifa kutokea twitter zikidai kwamba Rais wa Uganda, Yoweri Museveni amelazwa kwenye chumba cha uangalizi maalumu. Je, kuna ukweli wa taarifa hii?
  6. Nyendo

    Yoweri Museven: Zoezi la utiaji saini wa muswada limekamilika, hakuna Mtu atakayetubabaisha wala kututingisha

    Picha: Rais wa Uganda Yoweri Museveni Rais wa Uganda Yoweri Museveni amekaidi wito wa Mataifa ya magharibi wanaotaka sheria kali dhidi ya ushoga ifutwe ikiwa ni moja ya sheria kali zaidi duniani ambapo Mtu yeyote anayesambaza ushoga anaweza kuhukumiwa kwa kifungo cha kifo ambapo amesema sheria...
  7. B

    Huyu ndiyo Yoweri Kaguta Mseven: Mabeberu wanamjua

    Rais Yoweri Museveni wa Uganda ameurudisha bungeni muswada wa sheria ya sheria ya kupinga mapenzi ya jinsia moja nchini humo. Msemaji wa Rais, Bw.Sandor Walusimbi amesema, Rais Museveni amependekeza marekebisho ya adhabu kwenye muswada huo kabla hajausaini. Kwa sasa muswada huo unatoa adhabu ya...
  8. Mama Amon

    An open letter to President Yoweri Kaguta Museveni

    1. PREAMBLE Dear Yoweri Kaguta Museveni, The President of the United Republic of Uganda: On 28 February 2023, one Reverend Fr. Charles Onen, a former Catholic Priest, and who is a member of parliament of Gulu East, prepared the motion seeking leave of parliament to introduce a private...
  9. BARD AI

    Rais Yoweri Museven: Wabunge wa Bunge la Ulaya wapunguze ujuaji

    Rais wa Uganda Yoweri Museveni amelikosoa bunge la Umoja wa Ulaya baada ya kuitaka serikali yake kusitisha mradi wa kimkakati wa bomba la mafuta na nchi jirani ya Tanzania. Wiki mbili zilizopita wabunge wa Umoja wa Ulaya walipitisha azimio la onyo la ukiukwaji wa haki za binadamu na hatari ya...
  10. BARD AI

    PICHA: Gari lenye choo maalum cha Rais Yoweri Museveni wa Uganda

    Gari hili lina jiko kubwa, eneo la ofisi na sehemu ya kupumzika pia shughuli za mapishi zinafanyika wakati gari likiwa kwenye mwendo ambapo Rais anaweza kupata chakula kwa wakati anaotaka Kwa nje gari hili lina mifumo mingi ya kumsaidia Dereva kwenye kuliendesha, mifumo hiyo inahakikisha...
  11. Kichwamoto

    Mtoto wa Yoweri Museveni kuwa Rais huko Uganda? Mvua huanza na mawingu

    Hello Banzukulu, I salute you in the greatest spirit of news alert for transition and dispensesion ni regional politics. Taarifa za kustaafu ama kuomba ruhusa ama kibali cha kustaafu utumishi wa jeshi la Uganda kwa mtoto wa Rais Museveni wa Uganda, ndugu Lt. Gen Muhoozi, si ajabu si mshituko...
  12. figganigga

    Chato, Geita: Rais Yoweri Museven aenda kuweka Shada la Maua kwenye Kaburi la Hayati Magufuli

    Salaam Wakuu Rais Museven wa Uganda, atembelea Chato. Kwenye Ziara hiyo, atatembelea Kaburi la Hayati Magufuli, atatembelea Shule ya Museveni aloijenga Chato kama msaada kwa Wananchi wa Chato, Pia atamtembelea Mjane wa Hayati Magufuli Hayati Magufuli alifariki siku ya Jumatano jioni...
  13. M

    Maamuzi kama haya ya Kiume na ya Kijeshi ndiyo yananifanya nimkubali sana Rais wa Uganda Jenerali Yoweri Kaguta Amos Museveni

    "Kuanzia sasa wale Wote ambao watakutwa na Makosa ya Kuua Wenzao hakuna Kufungwa Kifungo cha Maisha Jela bali na Wao wanatakiwa Kuuliwa kwa Kunyongwa ili wasiendelee Kututia Hasara kwa Upumbavu wao na kuwazidishia tu Majonzi wale Ndugu wa Marehemu wakijua bado wanaendelea Kupumua hii Hewa ambayo...
  14. Geza Ulole

    Yoweri Museveni names new Vice President in reshuffled cabinet

    Uganda President Yoweri Museveni. PHOTO | AFP Summary The new cabinet also includes Ms Robinah Nabbanja as Prime Minister. Also in the cabinet is former NTV-Uganda Editor Agnes Nandutu, who has been named Minister in charge of Karamoja region. By AGGREY MUTAMBO WEDNESDAY JUNE 09 2021 Ugandan...
  15. Linguistic

    Ikulu Dar: Rais Yoweri Museveni na Rais Samia Suluhu washuhudia utiaji saini wa mikataba ya utekelezaji wa mradi wa bomba la mafuta

    Rais wa Jamhuri ya Uganda, Mhe. Yoweri Kaguta Museveni leo tarehe 20 Mei, 2021 atafanya ziara ya kikazi ya siku 1 hapa nchini kwa Mwaliko wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan. Akiwa hapa nchini Mhe. Rais Museveni na Mhe. Rais Samia watashuhudia utiaji saini wa...
  16. B

    Tujadili Hotuba ya Mh. Rais Yoweri K. Museveni

    12 May 2021 Kampala, Uganda Ceremonies for the 6th swearing-in of President Yoweri Museveni started early in Kololo, Kampala on Wednesday 12, May 2021 President Museveni’s full speech on his inauguration for the sixth term in office Your Excellencies, The people of Uganda and myself, welcome...
  17. Uzalendo wa Kitanzania

    Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Uganda Yoweri Museveni Awapandisha Vyeo Brigedia Jenerali 7 Kuwa Meja Jenerali & Makanali 33 kuwa Brigedia Jenerali

    Rais wa Uganda na Amiri Jeshi Mkuu wa UPDF Mheshimiwa Yoweri Kaguta Museveni amefanya uteuzi kwa kuwapandisha vyeo Majerali na Maofisa Waandamizi wa Jeshi la nchi hiyo.
  18. Ack

    Uchaguzi: Uganda magari ya jeshi yasambazwa mtaani

    Huku harakati za uchaguzi zikiendelea majeshi ya uganda na magari yao wameonekana wakipita mitaani leo kama wanaenda vitani kwa nini majeshi huhusishwa na siasa kweli ni sahihi??
Back
Top Bottom