johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 83,608
- 141,431
Nimejaribu kupitia katiba za Cuf, Nccr, Chadema, TLP na ACT wazalendo nikitaka kuona madaraka aliyonayo Makamu Mwenyekiti wa chama, kiukweli hana majukumu yoyote.
Ni kama vile nafasi hii iliwekwa ili kuimarisha muungano japokuwa vyama karibia vyote vya upinzani havilizingatii hilo.
Chadema kwa mfano, Mwenyekiti anatoka bara, makamu wake anatoka bara na Katibu mkuu anatoka bara, uongozi wa wazanzibari unaanzia kwenye nafasi ya Naibu katibu mkuu japokuwa aliyepo sasa anatoka bara pia wilayani Kinondoni.
Hivyo unaposikia mwanasiasa yoyote nguli wa Upinzani anagombea nafasi ya makamu Mwenyekiti ujue mtu huyo ameshafirisika kisiasa.
Maendeleo hayana vyama!