MODS ningeomba muangalie watu wanaoleta Ubaguzi wa Kidini.Kwanza Mleta mada sio muislam na kama ni Mkiristo basi ni wale wakristo Jina,Mkirsto mwenye akili timamu hawezi kutumika kipumbavu namna hii.Tena wengi kumbe ni wale wajinga waliopost post nyingi kumbe ujinga mtupu wa kujaza server tu.
Masuala ya waislam tuachiwe waislam wenyewe maana tunajua nini kinachotakiwa kufanywa kwa imani yetu na misingi yetu ya Uislam.
Suala la kuftarisha kama unavyoita wewe usiejua kitu ni kwa mtu yoyote,taasisi yoyote,na kuftarisha kwa tafsiri fupi ni kumualika mtu katika mlo wa mwanzo katika siku ya mfungo wa Ramadhani,sasa haina tafsiri ya kwamba ni kumlisha asienacho.Kuna Miji kama Saudia au Qatar zipo falme zinaalikana kwenye Kuftarisha.Sasa na wao hawana uwezo?
Lengo ni kuweka ukaribu wa mtu na mtu na taasisi na watu wake.
Kama umetumwa basi rejesha pesa zao,mungu atakuhukum,wenzio wakristo huwa wanaenda kwenye Ibada ili pia kujifunza na kujua,sio wewe unaeenda kanisani na ukitoka huna hata moja zaidi ya kwenda Bar.
Unachanganya Zakat Lfitri na Kuftarisha.
Kwa ufupu,kuna kundi la watu tena wanajiita Senior members ndio amabao wanaratibu hizi issue za kidini humu hasa kipindi hiki cha ramadhani,maana kila siku utakuta mtu anapost upumbavu huu,wakati kwanza sio Waislam.Na mbaya zaidi hakuna wanachokijua kuanzia dini zao,sasa utajuaje kuhusu Uislam.
Kuna kipindi Mods wangeangali namna ya ku ban mtu moja kwa moja bila kuangalia amepost posts ngapi.Maana laa sivyo kuna siku hii forum inaweza kuwa ndio kijiwe cha wajinga hawa wa facebook.
Acha upumbavu na ujinga uliza kwanza ndio ujue kupost,sio kukurupuka tu
LA`ANTU LLAH