peri
JF-Expert Member
- Mar 22, 2011
- 2,579
- 1,170
jamani hata kama kuna mapungufu funga kwa waislam ni ibada, tuache lugha za kejeli, mtawaharibia funga wenzenu.
hawatokuwa radhi makafiri na manaswara mpaka mfuate mila zao.
Wanadhani wanauchafua uislam kumbe wanajichafua wenyewe kwa kujaza hasira na chuki ndani ya mioyo ya waislam.
Chuki ambazo zitaleta madhara makubwa baadae kwani zinawaamsha waislam waliolala na kuwabainishia nani adui wao na nani rafiki yao.