Makampuni acheni kutumia Waislam vibaya

Makampuni acheni kutumia Waislam vibaya

Kipenzi Changu

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
59,535
Reaction score
139,840
Wakuu katika mwezi huu mtukufu kuna mambo wanayofanyiwa ndugu zangu ambayo si ya busara kabisa.Makampuni mengi ktk kipindi hiki yamekuwa yakijidai kufuturisha waislam lakini ukweli ni kwamba hufanya hivyo kujitangaza.Leo asubui ITV imeonyesha ACB(Bank) ikifuturisha waislam lakini mda huo huo wanatangaza bidhaa zao.Kama ni kufuturisha tu kwa nini mtangaze kwny TV.Sitaki kuamini kama waislam hawana uwezo wa kujifuturisha.
 
Siyo kila Muislam anao uwezo wa kujitengenezea futari mkuu, kama wewe unao uwezo wala hujalazimishwa kufuturu!

Waachie wengine.
 
Waislam tuungane kukemea hili,la sivyo mkubali kuitwa wachumia tumbo,BAKWATA imetumiwa sana na CCM
 
Ukitaka hilo lifanikiwe basi uandae wewe hiyo futari alafu uwaalike waislamu wote waje kufuturu kwako, ka sivyo unachofanya ni kama kumpigia mbuzi gitaa.

After all unayasema hayo kwa sababu unao uwezo wa kifedha kwa hiyo futari kwako siyo ishu lakini kumbuka kuna choka mbaya wenzio hata hiyo ya Msaada wanamshukuru Allah,.

Takbiiirrr.
 
Wakuu katika mwezi huu mtukufu kuna mambo wanayofanyiwa ndugu zangu ambayo si ya busara kabisa.Makampuni mengi ktk kipindi hiki yamekuwa yakijidai kufuturisha waislam lakini ukweli ni kwamba hufanya hivyo kujitangaza.Leo asubui ITV imeonyesha ACB(Bank) ikifuturisha waislam lakini mda huo huo wanatangaza bidhaa zao.Kama ni kufuturisha tu kwa nini mtangaze kwny TV.Sitaki kuamini kama waislam hawana uwezo wa kujifuturisha.

Habari za mwanza mkuu au bado upo Mbeya? Hii issue ya kufuturisha ebu tumsubiri ustaadhi kahtaan na ustaadha faiza foxy waje watoe ufafanuzi kama ili jambo lina swihi
 
Wakuu katika mwezi huu mtukufu kuna mambo wanayofanyiwa ndugu zangu ambayo si ya busara kabisa.Makampuni mengi ktk kipindi hiki yamekuwa yakijidai kufuturisha waislam lakini ukweli ni kwamba hufanya hivyo kujitangaza.Leo asubui ITV imeonyesha ACB(Bank) ikifuturisha waislam lakini mda huo huo wanatangaza bidhaa zao.Kama ni kufuturisha tu kwa nini mtangaze kwny TV.Sitaki kuamini kama waislam hawana uwezo wa kujifuturisha.

Husuda/hasada kwasababu mualiko umekupita mbali,kama umeumia sana wakataze waislam wenzio wasihudhrie kuliko kulaumu makampuni bila hoja thabiti!
 
Wakuu katika mwezi huu mtukufu kuna mambo wanayofanyiwa ndugu zangu ambayo si ya busara kabisa.Makampuni mengi ktk kipindi hiki yamekuwa yakijidai kufuturisha waislam lakini ukweli ni kwamba hufanya hivyo kujitangaza.Leo asubui ITV imeonyesha ACB(Bank) ikifuturisha waislam lakini mda huo huo wanatangaza bidhaa zao.Kama ni kufuturisha tu kwa nini mtangaze kwny TV.Sitaki kuamini kama waislam hawana uwezo wa kujifuturisha.
MODS ningeomba muangalie watu wanaoleta Ubaguzi wa Kidini.Kwanza Mleta mada sio muislam na kama ni Mkiristo basi ni wale wakristo Jina,Mkirsto mwenye akili timamu hawezi kutumika kipumbavu namna hii.Tena wengi kumbe ni wale wajinga waliopost post nyingi kumbe ujinga mtupu wa kujaza server tu.

Masuala ya waislam tuachiwe waislam wenyewe maana tunajua nini kinachotakiwa kufanywa kwa imani yetu na misingi yetu ya Uislam.
Suala la kuftarisha kama unavyoita wewe usiejua kitu ni kwa mtu yoyote,taasisi yoyote,na kuftarisha kwa tafsiri fupi ni kumualika mtu katika mlo wa mwanzo katika siku ya mfungo wa Ramadhani,sasa haina tafsiri ya kwamba ni kumlisha asienacho.Kuna Miji kama Saudia au Qatar zipo falme zinaalikana kwenye Kuftarisha.Sasa na wao hawana uwezo?
Lengo ni kuweka ukaribu wa mtu na mtu na taasisi na watu wake.
Kama umetumwa basi rejesha pesa zao,mungu atakuhukum,wenzio wakristo huwa wanaenda kwenye Ibada ili pia kujifunza na kujua,sio wewe unaeenda kanisani na ukitoka huna hata moja zaidi ya kwenda Bar.
Unachanganya Zakat Lfitri na Kuftarisha.
Kwa ufupu,kuna kundi la watu tena wanajiita Senior members ndio amabao wanaratibu hizi issue za kidini humu hasa kipindi hiki cha ramadhani,maana kila siku utakuta mtu anapost upumbavu huu,wakati kwanza sio Waislam.Na mbaya zaidi hakuna wanachokijua kuanzia dini zao,sasa utajuaje kuhusu Uislam.
Kuna kipindi Mods wangeangali namna ya ku ban mtu moja kwa moja bila kuangalia amepost posts ngapi.Maana laa sivyo kuna siku hii forum inaweza kuwa ndio kijiwe cha wajinga hawa wa facebook.
 
Hadi hapa Post zenye akili ni #21 , #2 na #10 wengine wote hadi mleta mada ni shida tupu.
 
Ni kweli kabisa haka katabia kamekomaa sasa.Ukitaka kujua kuwa lengo ni kutangaza biashara zao,chunguza wanaoalikwa utagundua kuwa ni watu wenye uwezo wao hasa viongozi wa ngazi za juu serikalini, wanasiasa na watu wengine maarufu.Haya likowapi lengo la kufuturisha hapo au imetumika nembo tu ya kufuturisha.Kama kweli lengu ni kufuturisha nendeni kwa walengwa siyo hivyo muendavyo.
 
Acha upumbavu na ujinga uliza kwanza ndio ujue kupost,sio kukurupuka tu
LA`ANTU LLAH

Shehe umenielewa vyema, mimi sijakataa waislam kufuturishwa, mimi napinga watu kutangaza bidhaa zao kwa mgongo wa kufuturisha, mfano nimetoa watu wa ACB(Bank) wamefuturisha huku wakitangaza bidhaa zao, kuna siku TBL watawafuturisha huku wakitangaza bia, oooh
 
Wakuu katika mwezi huu mtukufu kuna mambo wanayofanyiwa ndugu zangu ambayo si ya busara kabisa.Makampuni mengi ktk kipindi hiki yamekuwa yakijidai kufuturisha waislam lakini ukweli ni kwamba hufanya hivyo kujitangaza.Leo asubui ITV imeonyesha ACB(Bank) ikifuturisha waislam lakini mda huo huo wanatangaza bidhaa zao.Kama ni kufuturisha tu kwa nini mtangaze kwny TV.Sitaki kuamini kama waislam hawana uwezo wa kujifuturisha.

Khee... ujinga kuamini mnatumika kwenye matangazo... msiende basi kufuturu
 
Shehe umenielewa vyema, mimi sijakataa waislam kufuturishwa, mimi napinga watu kutangaza bidhaa zao kwa mgongo wa kufuturisha, mfano nimetoa watu wa ACB(Bank) wamefuturisha huku wakitangaza bidhaa zao, kuna siku TBL watawafuturisha huku wakitangaza bia, oooh
Jiangalie
 
Ni kweli kabisa haka katabia kamekomaa sasa.Ukitaka kujua kuwa lengo ni kutangaza biashara zao,chunguza wanaoalikwa utagundua kuwa ni watu wenye uwezo wao hasa viongozi wa ngazi za juu serikalini, wanasiasa na watu wengine maarufu.Haya likowapi lengo la kufuturisha hapo au imetumika nembo tu ya kufuturisha.Kama kweli lengu ni kufuturisha nendeni kwa walengwa siyo hivyo muendavyo.
Kulalamika ndo stairi ya maisha ya baadhi ya watu au vikundi fulani hapa duniani
 
njaa yenu waislamu inawafanya muwe daraja. Wenzenu wanawatumia kuvuka na kumaliza shida zao tu.
mbona pasaka na xmass haohao wanaofuturisha wanatoa zawadi na vyakula kibao hamsemi wala hamkatai?

Kubalini ukweli kuwa uislam umewashika pabaya, ndiomana haipiti masaa 2 mmeanzisha mada ya kuukashif na kuutukana uislam.

Mti wenye matunda ndio hupigwa mawe.
 
Back
Top Bottom