Hawa watu wana nini? pengine hayupo mahututi ila kenda check-up ya mafuwa tuu. Si unajuwa tena hao ndio wenye nchi? hizo pesa wanazitowa wapi? wakati wengine wanakufa kwa magonjwa madogo tu hapa kwetu, wenzetu wanaokomba vijisenti vyetu vya kodi wakiumwa kidogo India, South Africa, Europe. Hata haya hawaoni wala hawajuwi vibaya. Ni juzi juzi tuu tulisikia Mkuu Shein yuko huko anakaguwa namna apollo hospital watavyowekeza hapa, sasa jamaa ndio yuko huko, atatibiwa bure? kama hatolipa fedha basi atalipa fadhila. Uzi ule ule ufisadi kwenda mbele.