Makamba kaumbuka na Baraza Jipya

Makamba kaumbuka na Baraza Jipya

Safari_ni_Safari

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2007
Posts
23,263
Reaction score
17,138
Aliapa humu kuwa lazima mwanawe awe waziri....haijawa hakuna cha January wala February
 
Labda tungoje Mahanga akipigwa chini baada ya kushindwa kesi ya uchaguzi jimbo la Segerea
 
sarakasi tupu baraza hili.
hakuna jipya
shida kubwa sana
 
Nasikia na Makamba mwenyewe kikao cha chama chao kijacho wanamtatmhini na kummwaga! tetesi zingine zinasema ashaenda kwa wataalamu (sijui ndo kina nani hao) Ili mkuu hata akiambiwa mabaya yake atakuwa anaona sawa tu :teeth:
 
Hivi January atendelea na kazi yake hapo Ikulu kama mshauri.?
 
Ila isije ikawa watu walimsingizia tu Mkuu, unless ulimsikia mwenyewe kwa masikio yako.. Manake majungu yamezidi humu jamvini siku hizi!
 
Au ndio fundisho toka kwa Lau Masha? Ulevi wa Madaraka; kumnusuru anaona ni bora kutomchagua kama kijana Mapema

Ni Vizuri...
 
makamba apumzishwe na kama anadhani uongozi wa tz ni wa kisultani basi amepotea njia na hata huyo kikwete aaonyesha dalili ya kuanza kumwinua ridhiwani ss tuwe macho siku si nyingi utasikia mama salma waziri wa jinsia na wanawake
 
nimeshangaa kutoona akitajwa maana alikuwa akipewa nafasi kubwa sana na wapambe wake...naona raisi kashtuka mapema....ila inatia shaka pamoja na kuoneaka nyota yake iko juu na kufanya kazi na raisi kwa muda mrefu leo anakosa hata kaunaibu waziri...
 
Hii picha ndio imemponza January...........

January+Makamba.jpg
 
Au ni ile kashfa kutoka kwa yule mama wa kimarekani imemnyima uwaziri?
 
January anayo home work kabla hajaingia barazani, someni kitabu chake kabla hajamng'oa Mzee Shelukindo, all in all anayo fursa huko mbele hata ukatibu mkuu wa CCM anaweza akaukwaa. Tayari ni kiongozi hii ya uwaziri ni ziada tu ila tatizo ni pale wana Bumbuli kama walitarajia waziri toka kwao hilo litasumbua sana maana wananchi hawaeleweki sana
 
Aliapa humu kuwa lazima mwanawe awe waziri....haijawa hakuna cha January wala February

Huwezi jua mana mkwere anavyopenda kubadili baraza la mawaziri. madai katupumbaza watanzania, to hell na baraza lake.
kama safari ya maendeleo tanzania ndiyo kwanza mikakati imeanza. tuendeee kuwa wavumilivu
 
Katibu wa CCM amesikika akilikana baraza la mawaziri sababu mtoto wake hayumo! Huyu Msambaa kiboko
 
Kabla miaka mitano ndani ya balaza.Wamemwandika sana,kiasi kwamba JK kaona kama wanashinikza amteue.Lakini Kama alvyosema Makamba,kwamba watz hawachelewi kusahau.JK anawazuga aonekane hatabiriki.Lakn atamchagua tu baadae.
 
Hivi January atendelea na kazi yake hapo Ikulu kama mshauri.?
nadhani ile kazi alitakiwa kuiacha kabla ya kugombea... sijui lakini, labda wataalam watatuambia
 
Back
Top Bottom