Kinyambiss
JF-Expert Member
- Dec 2, 2007
- 1,374
- 72
Januari atafanya kweli jimboni kwakwe kwakweli simlinganishi na wabunge wengi wa ccm. He embraces change and probably wants to build his way to the presidency slowly but effectively. atafika mbali.
nimeshangaa kutoona akitajwa maana alikuwa akipewa nafasi kubwa sana na wapambe wake...naona raisi kashtuka mapema....ila inatia shaka pamoja na kuoneaka nyota yake iko juu na kufanya kazi na raisi kwa muda mrefu leo anakosa hata kaunaibu waziri...
Mkuu Safari na wewe aha!!kwani hukusoma ding dong kutoka kwa yule mama aliyemchafua sana January? walikuwa wakijibizana kwenye facebook??? Ding dong ili dung dang lol!!!
Kwenye economist magazine alisema ameacha kama sija kosea.nadhani ile kazi alitakiwa kuiacha kabla ya kugombea... sijui lakini, labda wataalam watatuambia
Ni mapema mno kufikiri kuwa januari katupwa. Lazima kuna ulaji anaandaliwa. Ccm ina wenyewe na wenyewe ndiyo akina makamba.
Hivi January atendelea na kazi yake hapo Ikulu kama mshauri.?
Aliapa humu kuwa lazima mwanawe awe waziri....haijawa hakuna cha January wala February