Makamba Jr, DSTV Wamewashinda Kuhusu Channel 5 Za Bure?

Makamba Jr, DSTV Wamewashinda Kuhusu Channel 5 Za Bure?

Wacha KUPOTOSHA,
Ilishasemwa nilazima hizi Channel 5 zionyeshwe na kila MULTPLEX atakaye pewa Leseni na TCRA. Pasco saidia hapa.

Nimeshaongea Mengi, mwenye kuelewa ameshaelewa walau kwa kile nilichoweza kusaidia kwa upeo wangu ambao wewe unasema nimepotosha bila kusema ukweli ni upi.

FYI: DSTV, Zuku TV, na Easy TV sio Multiplex (MUX) ambao TCRA imewasajili kubeba TV za local zetu za FTA. Mfumo wao wa matangazo ni wa kutumia Digital Satellite. MUX pekee waliosajiliwa na TCRA ni watatu tu nao ni StarMedia (StarTimes), BTL (Continental na Digitek) pamoja na Agame Media (TING). TV wanazobeba ni zile local zetu ambazo zote zinazotangaza kwa kutumia mfumo wa Digital Terrestrial (DTT).

Hawa watatu ndio Multiplex pekee waliosajiliwa na kuna ugomvi BTL ambapo Mengi ameanzisha king'amuzi chake cha Digitek baada ya kukorofishana na Diallo ambaye kaja na Continental lakini wote wanatumia leseni moja ya BTL ambayo ni Multiplex waliyemsajili kwa ushirikiano wao wawili kabla hawajakorofishana. Nahitaji darasa jingine kukuelewesha hili na ukaelewa.

DSTV, Zuku na Easy TV kamam Digital Satellite hawahusiki na haya mambo yoooote mnayoyazungumza na hawalazimishwi na sheria zetu za Tanzania kubeba local channels labda wao waone itawalipa kibiashara. Kama hujanielewa hadi sasa basi hutanielewa tena na naomba tu niishie hapo.

Radhia Sweety nakushukuru pia kwa kuwa wewe unajua sana ingaw aunashindwa kuwasaidia wasiojua ili nao wajue.
 
Last edited by a moderator:
starehe gharama jamani waacheni makaburu watese ila mbona tbccm inaonekana ata kama ujalipia!
Mkuu hata hiyo TBC1 kama hujalipia haionekani.
 
Wacha KUPOTOSHA,
Ilishasemwa nilazima hizi Channel 5 zionyeshwe na kila MULTPLEX atakaye pewa Leseni na TCRA. Pasco saidia hapa.
Mkuu Kibanga, naomba kwanza niweke wazi kuwa Pasco wa jf, sio mtu wa TCRA, hivyo I'm not an authority on this japo nimeombwa kusaidia.

Kiukweli, Mwana Mpotevu yuko very much right, DSTV ni pay TV tena kwa subscribers only hivyo TCRA have nothing to do with it at all!. TCRA wao wana regulate wale 3 multiplex providers ambao ni Star Media wanaoendesha king'amuzi cha Star Time (amacho ni cha analogue) japo signal ni digital!, digital signal ikipita kwenye analogue cable AVI cable, mtazamaji anachopata ni analogue!, Agape Associates, wanaorun ATN, hawa wana ving'amuzi vya analogue na digital, na Basic Transmission ambayo ni consotium ya ITV na Star TV, ikitegemewa wameunganisha nguvu ili kuliteka soko, japo sasa nashangaa kila mmoja anauza king'amuzi chake kivyake vyake!.

TCRA has no direct jurisdiction over DSTV so do ZUKU, au EAZY TV. hivyo DSTV ndio mwenye amuzi wa mwisho aweke nini na nini asiweke!, wakati wale multiplex providers wao wameamrishwa ni lazima waziweke zile 5 channels FTA whether wanapenda au hawapendi na tena kwa kuanzia wataziweka bure 24/7 wakati modalities na kulipana zikiendelea kutafutwa!.

Kwa maoni yangu, hata hizi multplex kuwa tatu, ni ubinafsi wa wamiliki kuhofia kuwa mmoja atafaidika!, kiukweli huko tuendako Mengi na Dialo will be making looses kwa sababu Tanzania bado hatuna enough local contents za kujaza 100 channels za digital signals ambazo kila multiplex provider anazo!. Only Star Media ndio itasurvive kwa sababu its fed by the big spoon ya Tax payers wa Tanzania kupitia TBC!.

Afrika Kusini, wao wanane mmoja tuu, na minara yake yote iko mahali pamoja!. Sisi wachanga na papara zetu tunao watatu!, what for?.

Ni kama kwenye vyama vya siasa, the giant kama America na UK wao wana viwili viwili hivyo kuleta ushindani wa kweli!, sisi hapa tunavyo 21!, huu ni utitiri na ndio advantage ya CCM kuendelea kutawala milele!.

Natoa wito, kama subject huijui, sio lazima ku comment!, mtu hujui na hujui kuwa hujui, halafu anamuita anayejua kuwa ni muongo!, wanaojua tayari wanakuwa wameisha jua kuwa hujui!.

Pole sana Mwana Mpotevu, hii ndio jf!.

Pasco.
 
Nimeshaongea Mengi, mwenye kuelewa ameshaelewa walau kwa kile nilichoweza kusaidia kwa upeo wangu ambao wewe unasema nimepotosha bila kusema ukweli ni upi.

FYI: DSTV, Zuku TV, na Easy TV sio Multiplex (MUX) ambao TCRA imewasajili kubeba TV za local zetu za FTA. Mfumo wao wa matangazo ni wa kutumia Digital Satellite. MUX pekee waliosajiliwa na TCRA ni watatu tu nao ni StarMedia (StarTimes), BTL (Continental na Digitek) pamoja na Agame Media (TING). TV wanazobeba ni zile local zetu ambazo zote zinazotangaza kwa kutumia mfumo wa Digital Terrestrial (DTT).

Hawa watatu ndio Multiplex pekee waliosajiliwa na kuna ugomvi BTL ambapo Mengi ameanzisha king'amuzi chake cha Digitek baada ya kukorofishana na Diallo ambaye kaja na Continental lakini wote wanatumia leseni moja ya BTL ambayo ni Multiplex waliyemsajili kwa ushirikiano wao wawili kabla hawajakorofishana. Nahitaji darasa jingine kukuelewesha hili na ukaelewa.

DSTV, Zuku na Easy TV kamam Digital Satellite hawahusiki na haya mambo yoooote mnayoyazungumza na hawalazimishwi na sheria zetu za Tanzania kubeba local channels labda wao waone itawalipa kibiashara. Kama hujanielewa hadi sasa basi hutanielewa tena na naomba tu niishie hapo.

Radhia Sweety nakushukuru pia kwa kuwa wewe unajua sana ingaw aunashindwa kuwasaidia wasiojua ili nao wajue.
Mkuu Mwana Mpotevu, nakuunga mkono 100% kwa 100% na kukuomba endelea kuwa mvvumilivu na mstahimilivu katika kuwatoa watu gizani, aliyeko gizani na ambaye hajawahi kuona mwanga, akimulikiwa atafunga macho mpaka mwanga umzoee ndipo atagundua kuwa kumbe alikuwa gizani!.

Endelea kutumulikia mpaka wa giza wazoee mwanga, waliokubeza watakuheshimu, hata kama hawatakiri ujinga wao!.

Keep it up!.
P.
 
Pasco

Nashukuru japo umeingia na kunisaidia hili kuwaelewesha wana Jamvi. Nimeitwa Muongo na mpotoshaji kwa kusema kwangu ukweli kujaribu kuwasaidia watu kufafanua kitu ambacho nimeona kinawapa shida nami nina ufahamu nacho huku hao wanaoniita mpotoshaji hawasemi ukweli ni upi. Mbaya zaidi wengine wanaoniita mpotoshaji huwa nawaheshimu sana huku jamvini kama Nicas Mtei. Lakini nashukuru pia wapo walionielewa vema na nakushukuru pia kwa nyongeza ya ufafanuzi wa kile nilichokieleza.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu

DSTV ni Digital Satelite Television, Mfumo wao wa usajili na udhibiti hauhusiani la Local providers bali ni international providers. Hapo ndipo unapochanganya mambo na ndio maana TCRA ambaye ni Local regulator anapokuwa hahusiki nao. Kumbuka DSTV wana miaka zaidi ya 20 wakiwa tayari wako Digital mkuu. Hili kidogo ni darasa refu sana na naweza kuchukua muda mrefu sana kukuelimisha hadi ikakukaa vema. Bahati nzuri au mbaya hiii ndio area yangu ninayoifanyia kazi.
au kwa lugha rahisi ni sawa na mtu mwenye blog yake iko based (tuseme) Ulaya au SA, kwa vile hiyo blog inapendwa sana na Waanzania TCRA wanairazimisha iwe inazipa umuhimu wa juu posts zinazohusu ziara na shughuli za viongozi au la 'wanawafungia'. Inaelekeana?
 
Mkuu Mwana Mpotevu, nakuunga mkono 100% kwa 100% na kukuomba endelea kuwa mvvumilivu na mstahimilivu katika kuwatoa watu gizani, aliyeko gizani na ambaye hajawahi kuona mwanga, akimulikiwa atafunga macho mpaka mwanga umzoee ndipo atagundua kuwa kumbe alikuwa gizani!.

Endelea kutumulikia mpaka wa giza wazoee mwanga, waliokubeza watakuheshimu, hata kama hawatakiri ujinga wao!.

Keep it up!.
P.
Pasco umenichekesha sana! Kwani wewe mgeni JF? Wakati mwingine watu wana kutana na vigingi humu acha tuu,bahati nzuri mtu akikutana navyo hivyo ndio anafunguka zaidi na wale walio pembeni wana nufaika na ufungukaji huo. Tuendelee kukata issue mkuu.
 
Last edited by a moderator:
kwa kweli hili naliunga mkono kwa nini waweke chanel mbili tu star tv na tbc wapi other local chanels, serikali ya ccm kweli double standard kha
Mkuu hata hizo channel mbili za local haziko free unapashwa kuzilipia! Channel ambazo ni free ndani ya DSTV niza Kichina tu.
 
Pasco

Nashukuru japo umeingia na kunisaidia hili kuwaelewesha wana Jamvi. Nimeitwa Muongo na mpotoshaji kwa kusema kwangu ukweli kujaribu kuwasaidia watu kufafanua kitu ambacho nimeona kinawapa shida nami nina ufahamu nacho huku hao wanaoniita mpotoshaji hawasemi ukweli ni upi. Mbaya zaidi wengine wanaoniita mpotoshaji huwa nawaheshimu sana huku jamvini kama Nicas Mtei. Lakini nashukuru pia wapo walionielewa vema na nakushukuru pia kwa nyongeza ya ufafanuzi wa kile nilichokieleza.

Nimependa uvumilivu wako kwenye mjadala, asante na mimi nimeelimika vya kutosha
 
Last edited by a moderator:
Pasco

Nashukuru japo umeingia na kunisaidia hili kuwaelewesha wana Jamvi. Nimeitwa Muongo na mpotoshaji kwa kusema kwangu ukweli kujaribu kuwasaidia watu kufafanua kitu ambacho nimeona kinawapa shida nami nina ufahamu nacho huku hao wanaoniita mpotoshaji hawasemi ukweli ni upi. Mbaya zaidi wengine wanaoniita mpotoshaji huwa nawaheshimu sana huku jamvini kama Nicas Mtei. Lakini nashukuru pia wapo walionielewa vema na nakushukuru pia kwa nyongeza ya ufafanuzi wa kile nilichokieleza.

Mkuu Mwana Mpotevu ina maana mimi khitaji kujua zaidi ndo imefikia kiasi cha kukosana kwa kweli? kumbuka vile nimekuuliza kuhusu suala zima la malipo ya dola katika ankara zao. Je TCRA hawana mamlaka juu ya hilo?
 
Last edited by a moderator:
Hatuna serikali ndo maana wezi wote wanaoitwa wawekezaji wanafanya wanavyopenda.Kama Salva Kir wa Sudan Kusini kawashinda hawa magamba na ana miaka karibia miwili tu, tutarajie nini kwa hawa majizi ya hapa kwetu?
 
Mmebishana weee mpaka wengine sisi wa la saba tumechanganikiwa.
Basi bwana
 
Mkuu Mwana Mpotevu ina maana mimi khitaji kujua zaidi ndo imefikia kiasi cha kukosana kwa kweli? kumbuka vile nimekuuliza kuhusu suala zima la malipo ya dola katika ankara zao. Je TCRA hawana mamlaka juu ya hilo?

Na ikiwa lengo ni kupata wateja zaidi serikari na investers washaurike ili kupunguza utumizi wa ving'amuzi vingikwa mtu mmoja.Japo kwa sasa kuwa na king'amuzi ni kama anasa hasa DSTV tukumbuke lengo ni taarifa ,elimu,burudani n.k.Pia mlengo wa kisiasa kwa wamiliki wa vyombo vyetu vya habari mnaujua,ni bora channels ziongezeke kwa masilahi ya wengi.Mbona kenya ,uganda wana zaidi ya 2 hukohuko dstv?
 
Last edited by a moderator:
Nadhani umenilisha maneno mkuu, nilisema TCRA ni Local regulator sio local Operator kama ulivyoelewa, naomba ukasome vema post yangu utaona hilo. Kutokana na kutokunielewa katika hilo, ndio sababu content nzima katika post yangu ukashindwa kuielewa. mie nipo Tanzania wewe uko Ulaya, tuna mifumo tofauti ya utangazaji na sheria tofauti. Laiti ungekuwa Tanzania ungezungumza lugha nyingine.

Ushauri wako kwa watendaji wa TCRA watakuwa wameusoma na wataufanyia kazi. Kila la kheri na maisha ya Ulaya mkuu sie tunasaga lami na Tanzania yetu

Huko kote mimi sina tatizo,ila hapo ktk RED heri yako wewe mkuu "unasaga lami".......sisi huku, humuhumu BONGO tunakula vumbi tu babake!!
 
Nami staki kuelewa kwa hili coz staki kuwa na mawazo mgando ati nikubali kuwa TCRA hawawezi kudhibiti uwapo wa local channels wala malipo kwa tsh kwa kila king'amuzi kisa eti ni ptv na sio ftv!! Hapa ni utumwa wa mawazo na sheria lazima liangaliwe upya naunga mkono mada. Naamini kama nia na utashi Upoo linawezekana hili kama hawataona faida watafute soko jingine.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Mwana Mpotevu ina maana mimi khitaji kujua zaidi ndo imefikia kiasi cha kukosana kwa kweli? kumbuka vile nimekuuliza kuhusu suala zima la malipo ya dola katika ankara zao. Je TCRA hawana mamlaka juu ya hilo?

Hapana mkuu wala sina tatizo kabisa isipokuwa napenda sana kujibishana kwa hoja na sio kwa kufanya Judgment na kumuita mtu mpotoshaji na ninapoteza wengine> Huenda umesahau kama umenijibu hivyo lakini nakukumbusha post yako ilisema hivi:

Mwana Mpotevu wewe umepotea, hvyo usipoteze wengine.. Hata suala la malipo kwa dola nalo utasema kuwa hao dstv hawatakiwi kuingiliwa

Lakini tumalize hii issue mkuu naamini tumeelimishana vya kutosha, tuendelee na mambo mengine na mijadala mingine kaka. Haya yamekwisha.
 
Back
Top Bottom