Makamanda mbona hamsomeki?

Makamanda mbona hamsomeki?

Ni kitambo kidogo sijalonga na hawa washikaji zangu ‘makamanda’.

Lakini leo nadhani ni siku muafaka ya kulonga nao.

Sasa nyie makamanda, tokea Rais Samia ameshika hatamu za uongozi, nyie ndo mmekuwa mstari wa mbele kabisa kuimba mapambio kwake.

Mmekuwa na furaha isiyo na kifani! Furaha yenu hiyo inatokana na imani yenu ya kwamba yale mazonge mliyokuwa nayo enzi za hayati Rais Magufuli, sasa yamekwisha.

Kwamba eti yeye alikuwa mkali sana. Yeye alikuwa katili sana. Yeye alikuwa mshamba sana. Yeye alikuwa fisadi sana. Yeye alikuwa hivi na vile sana.

Sawa. Hayo ni maoni yenu tu. Na maoni yenu si lazima yawe ndo uhalisia wa hali au mambo.

Leo ngoja niwaulize swali: kama nyinyi sasa hivi ndo mmekuwa viongozi wa kuimba mapambio ya Rais Samia na CCM yake, kwa nini sasa leo mmenuna, mmevimba, na mmefura kisa tu ex-kamanda mwenzenu aitwaye Lazaro Samweli Nyalandu karudi CCM ili aweze kuunga mkono uendeleaji wa kazi za Rais Samia?

Kama nyie mnamuunga mkono Rais Samia, na yeye anamuunga mkono Rais Samia, wote nyie lenu si ni moja?

Mapovu ya nini sasa?

Ndo kusema hamjielewi kiasi hicho au?

Nimalizie kwa kuwaaga kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania…..

Au niwaage kwa People’s……

Teh teh teh 🤣🤣🤣

Kwamba kuna kamanda kanuna kuhusu Nyalandu?

Huku sasa si ndiyo kujitejenya na kucheka mwenyewe?

Samia na makombora yake ya safisha safisha mbona tunamwunga mkono mno?

Hivi Pole pole bado yumo?
 
Chama kinazidi kukomaa, hata akihama Mbowe CDM itakuwa imara zaidi, walihama mawaziri wakuu wastaafu wawili na chama kipo mioyoni mwa watu kama kawaida. Ujue Magufuli alitumia kila alichokuwa nacho kuua CDM lakini bado aliishia kufa yeye.
 
Ni kitambo kidogo sijalonga na hawa washikaji zangu ‘makamanda’.

Lakini leo nadhani ni siku muafaka ya kulonga nao.

Sasa nyie makamanda, tokea Rais Samia ameshika hatamu za uongozi, nyie ndo mmekuwa mstari wa mbele kabisa kuimba mapambio kwake.

Mmekuwa na furaha isiyo na kifani! Furaha yenu hiyo inatokana na imani yenu ya kwamba yale mazonge mliyokuwa nayo enzi za hayati Rais Magufuli, sasa yamekwisha.

Kwamba eti yeye alikuwa mkali sana. Yeye alikuwa katili sana. Yeye alikuwa mshamba sana. Yeye alikuwa fisadi sana. Yeye alikuwa hivi na vile sana.

Sawa. Hayo ni maoni yenu tu. Na maoni yenu si lazima yawe ndo uhalisia wa hali au mambo.

Leo ngoja niwaulize swali: kama nyinyi sasa hivi ndo mmekuwa viongozi wa kuimba mapambio ya Rais Samia na CCM yake, kwa nini sasa leo mmenuna, mmevimba, na mmefura kisa tu ex-kamanda mwenzenu aitwaye Lazaro Samweli Nyalandu karudi CCM ili aweze kuunga mkono uendeleaji wa kazi za Rais Samia?

Kama nyie mnamuunga mkono Rais Samia, na yeye anamuunga mkono Rais Samia, wote nyie lenu si ni moja?

Mapovu ya nini sasa?

Ndo kusema hamjielewi kiasi hicho au?

Nimalizie kwa kuwaaga kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania…..

Au niwaage kwa People’s……

Teh teh teh 🤣🤣🤣
Mzee Mwanakijiji likes this
 
Uliisikia/ uliiona hii?

Niliisikia hii.

Huyu Mama ana maneno fulani ya taarabu za mipasho sana tu, ila anajua kujiweka kama mtaratibu kwa siasa za bongo on balance akilinganishwa na mtu mwenye maneno ya kunya kama Jiwe anaonekana huyu mama kama Mtakatifu fulani.
 
Mkuu hebu tuweke vyama pembeni tujadiri hoja ya mleta Uzi.
Wewe unamuunga mkono mama yetu( kitu ambacho ni kizuri sana)
Inakuwaje unanuna mtu mwingine kujitokeza hadharani na kwenda kumuunga mkono mama?
Vinginevyo useme kwamba mtu huyu si mzuri, na kama ndivyo ueleze amekuwa mbaya alipoanza kumuunga mkono mama au kipindi kile alipohamia upande wa pili.
.

Ni wapi nimemlaumu au kumnunia, hebu soma post #56.
 
Kwamba kuna kamanda kanuna kuhusu Nyalandu?

Huku sasa si ndiyo kujitejenya na kucheka mwenyewe?

Samia na makombora yake ya safisha safisha mbona tunamwunga mkono mno?

Hivi Pole pole bado yumo?
Point yako ni nini? Kwamba kama Pole Pole kaondolewa uongozi huko ccm basi hiyo 2025 chadema inaenda kilaini tu ikulu?
 
Wakiwamo genge la wasukuma na genge la wanachato.

Kumbuka kuna tofauti baina ya genge na kabila.
Hilo ni genge. Tena genge hatari sana. Watu walioungana kwenye uhaeamia wa taifa sio watu. Siwaamini tena hadi leo. Wanafurahia maovu?? Aisee hawa viumbe ni hatari sana kuliko alishabaab
 
Back
Top Bottom