Makamanda mbona hamsomeki?

Makamanda mbona hamsomeki?

Nyalandu hana sababu ya kubaki cdm maana huko ccm alimkimbia dhalimu, na sasa dhalimu yuko motoni. Ifahamike Nyalandu mwenyewe anajua hana mvuto huko cdm, na anajua akirejea ccm ana nafasi ya kuendelea na ufisadi wake maana huko ndio nyumbani.
Naona leo unamwaga pumba jukwaani.
 
Nilifikri Mbowe ndiye kahama CHADEMA ndo makamanda wangeshituka, kumbe ndo walewale ambao wakitiwa jiti moja tu, wanawahi kurudi CCM kujisalimisha ili mali zao ziendelee kulindwa mikono yao iendelee kwenda kinywani pamoja na kushibisha matumbo yao.
 
Kama aliondoka Dr Wa Mihogo "Silaha" na chama hakikuyumba ndio itakuwa Nyalandu? Aende mwana kwenda CDM ipo imara chini ya MWAMBA Mzee wa ANGA Kamanda MBOWE.
 
Unajiabisha kukiri hadharani kuwa chaguzi za Chadema huwa mnahongana. Aibu kubwa ndugu yangu.

Najiabisha au naweka ukweli hadharani? Au unadhani mimi ni kama ww uliyekuwa unatetea chaguzi za kipuuzi za yule dhalimu?
 
Bwana mdogo pole kwa kuzungusha mikono
Post zetu ziko humu humu jukwaani na hatukuwa tunamfagilia, huyo Nyalandu hakuwa na mvuto wowote ndani ya cdm. Na hakuna yoyote aliyenuna kwa Nyalandu kurudi ccm bali watu wanamwita mpigania tumbo tu. Ushahidi kuwa Nyalandu hakuwa na mvuto huko cdm, ni zile safari zake alizozunguka nchi nzima kutafuta watu wa kumuunga mkono ili kugombea urais kupitia cdm, ukiacha watu aliokuwa anazunguka nao kwenye lile basi lake chakavu, hakuwa na mvuto hata chembe.
 
Bwana mdogo pole kwa kuzungusha mikono

Mimi sio wa hivyo na utangoja sana kwenye hilo. Naona umeanzisha uzi wa mtoto wa Mbowe kuchukua madaraka lakini watu wamepuuza ule utoto wako.
 
Wanahaha awana pakushika,Mbelgiji anampinga mama wafuasi wake wanamkubali mama.
 
Usichokijua furaha ya makamanda inatokana na ukweli kwamba wanayo matumaini ya kuchukua nchi uchaguzi ujao.Hapo wanajua kabisa mama anaharibu ila ndio wanampongeza na kumpa mori maana kifo cha panzi furaha kwa kunguru! 2025 ileeeeee
Mama kashaanza kuruhusu mianya ya rushwa na yupo weak

Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
 
Daah wale wengine ilikua ni Kama kikundi cha kihuni bora Mama amekuja kurekebisha hapo CCM sasa hivi watajielewa wale wanaita waandishi wanajisifia kupanda vietiii harafu wapo kijijini ambako hakuna hata dawa kwenye zahanati..
 
Mambo yakiwa magumu dawa ni kutafuta kioja cha kumpigizia kelele hasimu wako hadi ashindwe kujibizana na, hivyo, kukupa afueni ya kisaikolojia.

Nakumbuka pia jinsi kelele za “hatutaki lockdown” na “hatutaki kulazimishwa chanjo” zilivyotumika kuzima hoja zote za waliokuwa wakidai serikali ya Jiwe iwe makini (serious) na uwepo wa Covid-19 nchini na kuchukua hatua madhubuti za kisayansi kupambana na janga.

RIP JPM

Hii ndiyo Tanzania yetu na watu wake leo
 
Chadema walipokuja na hoja finyu ya kutaka covid-19 waondolewe bungeni kisa hawajapitishwa na chama niliona ni kama wanaendeshwa na wivu na mihemuko, badala ya kutumia fikra pana kwenye kufikia malengo yao ya kisiasa. Wakaonyesha kwamba wabunge wa ccm wapo kihalali wakaishia kulamba matapishi yao kwamba uchaguzi wa 2020 ulikuwa batili...
 
Back
Top Bottom