Makamanda mbona hamsomeki?

Makamanda mbona hamsomeki?

Chadema walipokuja na hoja finyu ya kutaka covid-19 waondolewe bungeni kisa hawajapitishwa na chama niliona ni kama wanaendeshwa na wivu na mihemuko, badala ya kutumia fikra pana kwenye kufikia malengo yao ya kisiasa. Wakaonyesha kwamba wabunge wa ccm wapo kihalali wakaishia kulamba matapishi yao kwamba uchaguzi wa 2020 ulikuwa batili...
Nimependa uchambuzi wako...very logical. Asante sana.
 
Back
Top Bottom