FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 92,890
- 109,226
Kuna siku, zamani kiasi (1989) nilikuwa katika maonyesho ya biashara nchi za nje (wakati huo naishi nje ya Tanzania), kwa bahati akatokea mtu kwenye banda letu katika kuongea nae akaniuliza "Where are you from?" Nikamjibu "Tanzania" akaniambia "oohh I know Tanzania, where majority leave as minorities" sikumuelewa nikamuuliza anifafanunulie, akaniuliza tena "what is the Muslims population percentage wise?" Nikamjibu "over 50%" akaniambia "you are very close but its actually over 60%" nikamwambia "it could be, why?" Akaniambia "though you are the majority but you have less educated, less employed and less privileged you are minorities" sikumuelewa, lakini baada ya kurudi Tanzania (baada ya kuishi nje kwa muda mrefu sana), nikamkumbuka sana yule mtu na ndio nikamuelewa na nnazidi kumuelewa kila kukicha alikuwa anasema nini.