Makala za Mohamed Said Katika Mwananchi: Miaka 50 ya Uhuru wa Tanganyika

Nakushukuru sana kwa kutuwekea wazi jinsi ulivyo mdini. Hapana shaka unamsifia Nyerere kwa jinsi alivyotumiwa vizuri na Kanisa katika kuwasaliti na kuwahadaa wale wazee wa kiislam na kisha kuwavunjia kwa nguvu ule umoja wao wa EAMWS na kuwawekea BAKWATA kwa lazima. Kwa nguvu hizo hizo za Kanisa kumtumia vizuri Nyerere, leo Waislam wameachwa kama mayatima ktk. Nchi yao. Kwa hali hiyo sasa Mwita kwake kicheeko, kuwa 'Nyerere kafanya mazuri sana' na atayatetea kwa nguvu zote na kubeza kila jitihada zitakazofanywa na Waislam kujikwamua. Bado tena Mwita anatufundisha 'udini' kuwa eti Waislam bado wamelala, wanatakiwa kuamka na kuwatumia vizuri Mwinyi kwa wakati ule na sasa Kikwete kupata Mou toka kwa Muislam mwenzao kwa vile wao kina Mwita (Wakristo) walimtumia vizuri Nyerere Mkristo mwenzao. Kwa msemo mwingine ni kusema hivi: Nyie Waislam amkeni mumtumie Kikwete kupata Mou yenu, akiingia Rais Mkristo hampati kitu! Huu ni 'udini' wa wazi wazi. Kazi kwenu Waslam.
Wakati mwingine nikisoma baadhi ya mabandiko humu nacheeeka hadi gego la mwisho. Kwa nini:
-Nguvu za ziada za Mwalimu alizokuwa nazo. EAMWS anavunja. Anatafuta WAislamu "feki" anawaundia BAKWATA!
-Serikalini anakuwa na WAISLAMU wengi tu "feki" kuanzia makamu wake.
-Ndani ya CCM nako anajizungushia WAISLAMU "feki" wengi tu.
-Anaunda MUUNGANO na nchi ya WAISLAMU 99%!
-Anafungua balozi nchi nyingi tu za Kiislamu ikiwemo Palestina isiyo na hadhi ya "State".
Nimesoma gazeti la Jambo Leo. WAISLAMU wanataka MoU ya serikali na makanisa ivunjwe. Sio wao waingie ya kwao na serikali sijui kwa huduma zipi! Ulevi wa UDINI tu.
 
Wewe unaeshangaa, una sababu zingine za Nyerere kupewa uwenye heri na kutaka kupewa utakatifu?
 
Wakati mwingine nikisoma baadhi ya mabandiko humu nacheeeka hadi gego la mwisho. Kwa nini:
-Nguvu za ziada za Mwalimu alizokuwa nazo. EAMWS anavunja. Anatafuta WAislamu "feki" anawaundia BAKWATA!
-Serikalini anakuwa na WAISLAMU wengi tu "feki" kuanzia makamu wake.
-Ndani ya CCM nako anajizungushia WAISLAMU "feki" wengi tu.
-Anaunda MUUNGANO na nchi ya WAISLAMU 99%!
-Anafungua balozi nchi nyingi tu za Kiislamu ikiwemo Palestina isiyo na hadhi ya "State".
Nimesoma gazeti la Jambo Leo. WAISLAMU wanataka MoU ya serikali na makanisa ivunjwe. Sio wao waingie ya kwao na serikali sijui kwa huduma zipi! Ulevi wa UDINI tu.
Ww na wenzio wenye mawazo kama yako, nadhani mlikuwa hamzisomi makala Sheikh Mohammed Said. Na kama mlikuwa mnazisoma basi hamzingatii maudhui yake. Badala yake, sasa inadhihirisha kuwa zilikuwa zinapita kulia na nyie mpo kushoto. Badala ya kuzisoma hoja zake kwa makini na kutafakari, mmekalia kubeza na kicheeko tu. Ila mtambue kuwa, wakati ww unacheka, kuna mwenzio analia. Kama pasipochukuliwa hatua za makusudi mapema ujue ipo siku, hao mnaowaambia leo wamelala, kuna siku wataamka, ndipo patakuwa hapatoshi. Upande huo sio mzuri, hebu tuuache kwanza. Tuangalie muungano ulioutaja, ambapo ilikuwa zaidi 99% ni Waislam, sasa leo hivi kila kukicha panazidi kujengwa mabaa na kitimoto ndani yake kama kawa. Naomba uwe mkweli na muwazi, hapo Waislam wamepata au wamepatikana?kutoka Kwa Nyerere?
 
Jee, unaweza kutupa idadi ya wanafunzi wa vyuo sasa na wakati wa Nyerere?

Maswali yako wakati mwingine hayana msingi. Labda nikuulize wakati wa Mwl. Nyerere watanzania tulikuwa wangapi na sasa tupo wangapi? Ukipata jibu fanya uwiano.

Chama
Gongo la Mboto DSM.
 
Maswali yako wakati mwingine hayana msingi. Labda nikuulize wakati wa Mwl. Nyerere watanzania tulikuwa wangapi na sasa tupo wangapi? Ukipata jibu fanya uwiano.

Chama
Gongo la Mboto DSM.

Tanzania population growth: 3% //; - doubling time: 30 years

Haya sasa, sema, unalo zaidi? piga wewe hesabu ya wanafunzi aliowaacha Nyerere 1985 na shule alizoziacha, na vyuo alivyo viacha tuone na sasa ni ipi iliyokuwa zaidi? population au vyuo au wanafunzi.

Utaona haya.
 
Hujaelewa nini??
Wewe ni "she", nami ni "he",
Kuna ajabu gani mimi kukupenda??
Kama sio hizo imani zako za kimagamba ningetuma posa kwenu!!

Kupendwa ni jadi yangu wala hainistuwi. Si wewe wa kwanza wala hautakuwa wa mwisho.
 
Darsa naona linaendelea. Shule zimefungwa sasa hivi, kwa hiyo ninao muda mwingi wa kusoma hii historia yetu iliyofichwa kwa makusudi.

Naomba Sheikh Mohammed uendelee kutupa knowledge zaidi.
 
Darsa vipi. Mohamed Said tunasubiri darsa yako sheikh kwani kila kukicha tumekuwa tunajifunza mengi sana kutokana na historia hiyo.

Allah akuzidishie.
 
Kupendwa ni jadi yangu wala hainistuwi. Si wewe wa kwanza wala hautakuwa wa mwisho.

Nilikuwa offline for some time, nimejaribu kufatilia thread hii leo mambo niliyoyakuta humu yamenishangaza sana! Regardless ya qoutes za FF alivyokuwa anamjibu "SHARK" mimi nilikuwa siamini kwamba zama hizi bado kuna blatant MALE CHUVANISM - kuna haja gani ya kumkumbusha mwenzako kwamba yeye ni "SHE" na wewe ni "HE" unataka kuprove nini? Mtu anaye jiamini wala hajitangazi - kisaikolojia ukiona binadamu ana traits za PROJECTION - mwenye akili anajuwa kuna tatizo somewhere, kama una shida unataka kufahamiana na F/F kwa nini usimtumie private message mkaelewana huko huko; sisi kama wana JF hatuhitaji kujuwa feelings zako kuhusu this lady tusijaribu ku-derail mada ya muhimu kimaksudi kwa kutumbukiza mambo ambayo hayana mantiki yoyote. Reading between the lines jamaa huyu alikuwa amepania kujaribu kum-cut to size au tuseme kumuweka F/F where he thinks she belongs yanarudi yale yale traits za Projection, ndugu yangu this lady gotta them sharp grey matter humuwezi kwa hoja na huwa anajua anacho zungumzia hakurupuki, jaribu kusoma kwa makini anachozungumza na ku-browse link anazotoa ndiyo utajuwa kuwa huwa anafanya home work siyo ubabahishaji na si mnafiki au mtafuta sifa au public sympathy.

Mimi naona ni vizuri kumpongeza pale anapofanya vizuri, akiteleza basi akumbushwe kurudi katika mstari kwa kutumia hoja - we sema yeye katumia busara ingekuwa nchi za wenzetu angeweza ku-press charges zaidi yako na ukafungwa, wakati mwigine we gotta be dead careful unacho zungumza kuhusu wakina mama.

Nimeona humu watu wanazungumzia kuhusu the late Mwalimu Nyerere kuwa mwenye heri/mtakatifu, jamani kwa nini sisi wakristo wakati mwingine tunatafutaga kujipalia moto, mimi sijasoma historia sana lakini sijawahi kusikia mtu mkristo wakawaida ambaye si Padri, sista and what have you-yaani raia wa kawaida akatangazwa Mtakatifu-Sijawahi, tuchukulie hata hawa ma-PAPA ambao nafikili idadi yao inafikia mia mbili na ushee tangu Papa wa kwanza mnaweza kutwambia ni PAPA wangapi walipewa utakatifu au Ma-Kaldinadi wangapi waliwahi kupewa utakatifu! Sasa wenzetu wasilaam waki lalamika kwamba tulikuwa na agenda ya SIRI ya kuwakandamiza ndiyo maana tumepania Nyerere atangazwe MTAKATIFU nani atawalahumu. Mimi nilipo sikia kusudio hilo nilishtuka sana nikaona lo-lo mbona watanzania tunachezea galloni la PETROL kwenye moto, tunazungumzia mambo ya utakatifu wakati tulikuwa tumesahau kwa maksudi kutaja kwa majina watu waliopigania uhuru wa nchi hii, wakazikwa as if hakuna lolote walilo changia, wakati mwingine huwa nafikili balaa linalokumba nchi hii ni rahana ya kusahulika kwa watu hawa. Juzi juzi tu ndiyo niliona Jakaya katumia ujasiri wa hali ya juu sana kwa kuwataja kwa majina mashujaa hawa walio sahulika/kufutwa kwenye historia ya nchi yetu - wakatunukiwa nishani mimi nilitokwa machozi, si hayo tu yako mengi ya unyanayasaji waliyofanyiwa jamaa zetu kisa kutofautiana katika mambo ya itikadi au michango yao ambayo ingeweza kuinua nchi hii ilipuuziwa na kuonekana ni mahadui kumbe walikuwa wanaona mbali, mtu aliye changia mazuri machache na mengine ambayo yalikuwa hayafahi kabisa ambayo yaliyumbisha nchi yetu kiuchumi Mpaka siku moja nikamsikia Mzee Mwinyi anasema alipewa nchi ambaya haikuwa na hata senti tano hazina! Mzee Rupia kasema wafanya biashara walikuwa hawana chochote walibaki na mashelves tu yasiyo kuwa na bidhaa yoyote hata wakaona aibu ya kuwambia walipe kodi/VAT - katika hali ya namna hiyo hata Muhumba wetu atatuelewa kweli tikianza kuzungumzia mambo ya mwenye heri/Mtakatifu!
 
Back
Top Bottom