Makafara yanatumaliza wafanyakazi benki ya Posta

Makafara yanatumaliza wafanyakazi benki ya Posta

Kuna watu sijui huwa wanafikiriaga nini Yaani msomi wa chuo kikuu tena kwenye mambo ya uchumi unayejua bank inaendeshwa kwa mfumo gani Leo unaongea haya.Yaani nakuona tu hapo location yako na unatumia device ya ofisi kukashifu bank. Mbaya zaidi unaropoka tu bila facts. Nakushauri tu kumbuka kuwa hapa jamiiforums maficho ni mafupi sana hivyo unaonekana na adui.
Gf iko vile vile...

kama mwanzo...sio face book hapa!
 
Sisi wafanyakazi wa benki ya posta tunafanya kazi kwa hofu kubwa ya kufa.
Kwa mwezi wa tano na wa sita wanakufa wafanyakazi zaidi ya wanne.
Kila anayekufa lazima amwage damu.
Yaani hali ni mbaya sana.
Jana Kuna Dada wa HR kafa akiwa anafanyiwa upasuaji wa nyonga, hip bone.
Itakuwa mnatoana kafara wenyewe kugombea vyeo maani serikali napo sio mchezo mchezo kiti cha A hawezi kukalia B bila kujipanga vizuri
 
Kuna watu sijui huwa wanafikiriaga nini Yaani msomi wa chuo kikuu tena kwenye mambo ya uchumi unayejua bank inaendeshwa kwa mfumo gani Leo unaongea haya.Yaani nakuona tu hapo location yako na unatumia device ya ofisi kukashifu bank. Mbaya zaidi unaropoka tu bila facts. Nakushauri tu kumbuka kuwa hapa jamiiforums maficho ni mafupi sana hivyo unaonekana na adui.
Watu wasiojulikana[emoji115][emoji115][emoji115]
 
Unakisubiria kifo kwahiyo? Unaamini riziki yako toka kwa Mungu ni lazima ipitie bank ya post? Au wote mmefungwa na makafara? Timkeni!!
Sisi wafanyakazi wa benki ya posta tunafanya kazi kwa hofu kubwa ya kufa.
Kwa mwezi wa tano na wa sita wanakufa wafanyakazi zaidi ya wanne.
Kila anayekufa lazima amwage damu.
Yaani hali ni mbaya sana.
Jana Kuna Dada wa HR kafa akiwa anafanyiwa upasuaji wa nyonga, hip bone.
 
Acheni uogaa...kwa mfano wafamyakazi wa serikali wanaokufa (mfano ajalini) wakiwa katika utekelezaji wa majukumu yao nazo ni KAFARA....Aliyeleta huu uzi ni muogaaa tuuu
Sio uoga ndugu najaribu kukupa uhalisia
ingekuwa ni kifo cha ajali sawa ila kila mtu anakufa peke ake then ndani ya miezi miwili,
Labda kama hauishi katika jamii ya watu wanaojielewa ndio utaona uoga ila ingekuwa kwa wanaojielewa ingeelewa uhalisia,
Lakini pia nadhani haujawahi kufiwa laiti kama ungewahi kufiwa ndio ungejua uhalisia unakuwaje.
Kukaa kimya ni busara pia wakati mwingine hakluna mshara kama unachangia kila mada
 
Mie sijambo kabisaaa jamanii!
Umemisika ujue
Kweli?? Basi siku hizi tunapishana majukwaa maana hata mimi sikuonagi dear.
Itabidi kila siku niwe nakutafuta upo jukwaa gani au nikuje pm kabisa.
 
Kweli?? Basi siku hizi tunapishana majukwaa maana hata mimi sikuonagi dear.
Itabidi kila siku niwe nakutafuta upo jukwaa gani au nikuje pm kabisa.
Kweli kabisaaa jamanii, mekuhamu!
Mie niko kila kona ya JF isipokuwa jukwaa la wakubwa tuu!

Tusalimiane tuu hata ikibidi pm my dear!
 
Mpemba hadhiakiwii, mujitathmini wazee kuna mtu kashawavunjia nazi huko😂😂😂 muda wa kukomaa na ibada wajuba washafunguliwa iddi mosi. Ramadhan imeisha wana njaa wanapita na vichwa kwa ukali!!!
 
Kweli kabisaaa jamanii, mekuhamu!
Mie niko kila kona ya JF isipokuwa jukwaa la wakubwa tuu!

Tusalimiane tuu hata ikibidi pm my dear!
Sasa huko Pm ndiyo pazuri ngoja nijee huko huko mamy.
 
Back
Top Bottom