digalangosha
JF-Expert Member
- Aug 30, 2013
- 1,574
- 2,292
Sasa mtu kafa kwenye upasuaji unasemaje ni kafala...?
Hii yakubadili vipya nimeona mkuu.mtakufa kweli wewe huoni kila ofisi akichaguliwa kibosile mpya lazima anunue sofa set mpya na kila kitu kipa unadhani wajinga wale au wanataka tu vitu vipya , yale masofa aliyoyakuta hata kama mapya yanatolewa analeta yake.
Hahahahahahahaha.Mbona kama unaniamrisha?
Uwe unatumia lugha nzuri hata kama una cha maana cha kuniambia.
Btw sikutafuti[emoji57]
Mbona hapo bado sanaaaa.... Kuna baadhi ya wafanykazi hapo hawajasimama kwenye zamu ( nafasi) zaoVifo Nane ndani ya miezi miwili then sehemu moja tu?
Sio kawaida hii
Eeeee[emoji27][emoji27][emoji27]Kweli hiyo benki majanga. Juzi kati kafa meneja wa Tegeta Branch kapigwa risasi kama zote
Duuuh wamrudie Mungu wao Hawa wafanyakaziTegeta Branch kafa meneja last week.
Sumbawanga branch kafa teller
Hapo Head office ndio usiseme
Mkuu angalia Avatar yako isije ikakuletea matatizo, umejianika sanaSisi wafanyakazi wa benki ya posta tunafanya kazi kwa hofu kubwa ya kufa.
Kwa mwezi wa tano na wa sita wanakufa wafanyakazi zaidi ya wanne.
Kila anayekufa lazima amwage damu.
Yaani hali ni mbaya sana.
Jana Kuna Dada wa HR kafa akiwa anafanyiwa upasuaji wa nyonga, hip bone.
Hizi case hizi alafu Ni kwenye hospital za private Mara nyingi cjui kwanini.........Acha kupotosha umma huyo dada aliefariki ni kutokana na uzembe wa madaktari wa hospital ya Hindu Mandal kum overdose nusu kaputi... wakuu tuwe makini na hizi hospitali ni janga aisee bora uende Muhimbili tuu
Mimi shule niliyosoma O Level watu walikua wanakufa jamani. Yani kila mwezi anakufa mwanafunzi. Wengine wanapandisha mapepo darasani. Alianza dogo wa form one kwa kutoa mimba. Alikufa mwezi wa kwanza mwishoni. Akaja wa form two kwa kugongwa na gari wakati tunatoka kwenye michezo Lushoto. Tukapumzika kidogo. Kuanzia mwezi wa 10 mambo yakarudi upyaaa. Kila mwezi form one mpaka form 3 anakufa mtu. Kuna familia walikufa watoto wao wawili ndani ya miezi mitatu. Walivyofika wanafunzi 10 ndani ya miezi 6 nikamwambia mama nihamishe shule naona kabisa mambo yatahamia form four. Ikabidi wazazi wakae kikao wakatafuta wachungaji na wachungaji. Baadae nikasikia walichinja mbuzi mbele ya mti uliokuaga assembly ndio vifo vikapotea. Madam mmoja alikuaga kaokoa akasema kulikua na agano la damu ndio sababu ya vifo vyote vile.Hahaha hahahahahaha uchawi upo me nawaangalia tu hawa wanaoongea shit hapa yakiwakuta wataondoa huu ubishi wao......
Kuna mwalimu mmoja shule fulani huku kusini alikuwa na tabia ya kupiga wanafunzi vibaya mnooo siku hiyo kalala ndani kwake asubuhi wanamkuta juu ya simtank amelazwa huko.... Wenzie wakamshtua we jamaa vipi akashushwa pale toka siku hiyo alikuwa hapigi wanafunzi kama anauwa nyoka na bila sababu
Nimepishana na gari la mshahara nini[emoji23]Hahahahahahahaha.
Mchaga wewe [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hahahahahahaha! Unatongozwa kwa biti unagombaNimepishana na gari la mshahara nini[emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23]ndiyo kutongozwa?. DuuuhhhhhhHahahahahahaha! Unatongozwa kwa biti unagomba
Na usikute mleta mada elimu yake ya degree na zaidi.Duh..
Hii ndio TZ!