Makafara yanatumaliza wafanyakazi benki ya Posta

Makafara yanatumaliza wafanyakazi benki ya Posta

Mwandishi huenda kaandika kwa panic,na kwa vyovyote vile ni mwandiko wa kike huu tena either ni mtu alikula chumvi nyingi na elimu yake itakuwa ya chini sana. Sasa sijui kafikiria nini hadi kahusisha Imani za kishirikina! Sasa hapo kafara inafanyika na nani kwa manufaa yepi?
 
Sasa benki ina wafanyakazi 1000+ Halafu wamekufa watatu mmoja kwa kuuliwa na majambazi, mwingine alifanyiwa operation akiwa anajifungua hospital hawakuwa na damu ya kumwongezea watatu nae ni operation Sasa Unataka

Una ushahidi?
Nje ya mada... Hivi mikopo benki ya Posta interest ni asilimia ngapi?
 
Sasa benki ina wafanyakazi 1000+ Halafu wamekufa watatu mmoja kwa kuuliwa na majambazi, mwingine alifanyiwa operation akiwa anajifungua hospital hawakuwa na damu ya kumwongezea watatu nae ni operation Sasa Unataka

Una ushahidi?
Mkuu na wewe upo TPB?
 
Sisi wafanyakazi wa benki ya posta tunafanya kazi kwa hofu kubwa ya kufa.
Kwa mwezi wa tano na wa sita wanakufa wafanyakazi zaidi ya wanne.
Kila anayekufa lazima amwage damu.
Yaani hali ni mbaya sana.
Jana Kuna Dada wa HR kafa akiwa anafanyiwa upasuaji wa nyonga, hip bone.
c uhame huko
 
Kwa hivyo wataka kutuambia kwamba wafanyakazi wa benki ya posta wanatumia muda mwingi kufikiria watazikana wapi, badala ya ufanisi kukuza benki, Poleni aisee, anzisheni chama cha kufa na kuzikana hamna namna.
Ndiyo maana ni benki pekee Mlimani city inayofunguliwa saa tatu wakati wengine wanafungua saa 2:30.
 
Sisi wafanyakazi wa benki ya posta tunafanya kazi kwa hofu kubwa ya kufa.
Kwa mwezi wa tano na wa sita wanakufa wafanyakazi zaidi ya wanne.
Kila anayekufa lazima amwage damu.
Yaani hali ni mbaya sana.
Jana Kuna Dada wa HR kafa akiwa anafanyiwa upasuaji wa nyonga, hip bone.
Watu wengi tu wanakufa sema huko posta ni masuala ya kiimani tu,Kama Kila sehemu wakifa watu na ukasema Ni kafara,Basi wewe ndo ututhibitishie hizo kafara anayezitoa [emoji2] kumbuka posta hamjatengwa na majanga Kama dengue,Ukimwi, TB na hata ajali. Jiwekeni karibu na Mungu wa mbinguni,ova!
 
Sisi wafanyakazi wa benki ya posta tunafanya kazi kwa hofu kubwa ya kufa.
Kwa mwezi wa tano na wa sita wanakufa wafanyakazi zaidi ya wanne.
Kila anayekufa lazima amwage damu.
Yaani hali ni mbaya sana.
Jana Kuna Dada wa HR kafa akiwa anafanyiwa upasuaji wa nyonga, hip bone.
Achana na hofu ya kishirikina.
Inaelekea watu kwenu wanaumwa na hawachukui hatua mapema kupata matibabu.
 
kwani mmeshikishwa na mshumaa kufanya kazi hapo,

#chagua kimoja kama ni kuishi bila kazi/kuwa na kazi na KUISHI kwa mashaka.
 
Sisi wafanyakazi wa benki ya posta tunafanya kazi kwa hofu kubwa ya kufa.
Kwa mwezi wa tano na wa sita wanakufa wafanyakazi zaidi ya wanne.
Kila anayekufa lazima amwage damu.
Yaani hali ni mbaya sana.
Jana Kuna Dada wa HR kafa akiwa anafanyiwa upasuaji wa nyonga, hip bone.

Bank ya posta tawi gani hapa nchini??
 
Kwani ukiwa mfanyakazi wa benki ya Posta unakuwa protected na kifo cha aina fulani? Acha ushamba.
 
Acha kupotosha umma huyo dada aliefariki ni kutokana na uzembe wa madaktari wa hospital ya Hindu Mandal kum overdose nusu kaputi... wakuu tuwe makini na hizi hospitali ni janga aisee bora uende Muhimbili tuu
 
Daaah sijui niache shule. Kama wakubwa zangu walio soma na kupata ajira wanamawazo finyu kiasi hiki mm hii elimu itanikomboa kweli kunifanya niwe na fikra huru tena yakinifu.
Ko mtoa mada kengo lako wafanyakaz wa posta wasife? Au unataka namna yao ya kufariki iweje?
 
We jamaa kumbe wa hovyo hv

Back
Top Bottom