Piga kazi kijana, kila mahali kuna kafara zake. Hata sisi huku jamaa wanatubana mbavu hatari!Sisi wafanyakazi wa benki ya posta tunafanya kazi kwa hofu kubwa ya kufa.
Kwa mwezi wa tano na wa sita wanakufa wafanyakazi zaidi ya wanne.
Kila anayekufa lazima amwage damu.
Yaani hali ni mbaya sana.
Jana Kuna Dada wa HR kafa akiwa anafanyiwa upasuaji wa nyonga, hip bone.
Magundu ndio serikali yenyeweAsee kuna uhusiano gani bank serikali sasa?
Vifo Nane ndani ya miezi miwili then sehemu moja tu?
Sio kawaida hii
Acha ujinga.Sisi wafanyakazi wa benki ya posta tunafanya kazi kwa hofu kubwa ya kufa.
Kwa mwezi wa tano na wa sita wanakufa wafanyakazi zaidi ya wanne.
Kila anayekufa lazima amwage damu.
Yaani hali ni mbaya sana.
Jana Kuna Dada wa HR kafa akiwa anafanyiwa upasuaji wa nyonga, hip bone.
Angalia kwa macho ya rohoniHaa kwann unasema kafala!inaweza kuwa ni coincidence tu,tuache hizo imani
Kazi yoyote kwa sasa hata private sector bila maombi aisee ni hatar watu wanaroga sana nawashauri nendeni pale eagt kw pastor katunzi awaombee anaomba yule pastor simchezo uchawi wote unaondoka kila siku ibada pale mtoni mtongani kituo stand ya shamba kanisa lipo barabarani tu.Uchawi kwenye maofisi ya serikali kawaida Sana,manake kuna watu wanageuza ofisi za umma kama kampuni binafci,ofcn kwetu pia ipo hiyo,watu wanaloga hatareee,ofisi ama idara ina watumishi 20,ila wanaoonekana na kuitwa kupewa majukumu na mkurugenzi ni wawili tu,wengine mnaonekana kama mavi.Halafu watu wenyewe wanaoonekana na kupewa kazi ama madil na maboss ukichek elimu,ujuzi hata uwezo wao utashangaa ajabu,mtu hata cheti Cha form 4 hana ila mkurugenzi anavyomsikiliza ukiona ni aibu tupu.
kuna mzee alikuwa na wake wawili. Kila mke watoto 4! Mzee alikuwa na nyumba Kali Magomeni! Alipokufa watoto wa4 wa mke Mmoja wakalazimisha nyumba kuuzwa ili wachukue Chao! Wale wengine wa4 hawakutaka!
Ghafla wale wanaotaka nyumba iuzwe wakaanza kufa Mmoja Mmoja kila Mwezi! Wakafa wa3 Ktk miezi mi3! Mkubwa Ktk wale wa4 akamuuliza yule Mmoja aliefiwa na nduguze... Vipi Msimamo wako.. Tuuze ama tusiuze nyumba? Jamaa akajibu tusiuze na tena naombeni tuifanye maboresho!
Sisi wafanyakazi wa benki ya posta tunafanya kazi kwa hofu kubwa ya kufa.
Kwa mwezi wa tano na wa sita wanakufa wafanyakazi zaidi ya wanne.
Kila anayekufa lazima amwage damu.
Yaani hali ni mbaya sana.
Jana Kuna Dada wa HR kafa akiwa anafanyiwa upasuaji wa nyonga, hip bone.
Hahaha hahahahahaha uchawi upo me nawaangalia tu hawa wanaoongea shit hapa yakiwakuta wataondoa huu ubishi wao......kuna mzee alikuwa na wake wawili. Kila mke watoto 4! Mzee alikuwa na nyumba Kali Magomeni! Alipokufa watoto wa4 wa mke Mmoja wakalazimisha nyumba kuuzwa ili wachukue Chao! Wale wengine wa4 hawakutaka!