Makafara yanatumaliza wafanyakazi benki ya Posta

Makafara yanatumaliza wafanyakazi benki ya Posta

Jaman wana JF wenzangu hebu fungueni akili zenu! Acheni kuwa watumwa wa fikra na akili za watu. Kila mnachoaminishwa kutoka kwenye akili na fikra za wengine mnaamini tu na kukubali bila kutumia akili na fikra zenu kutafakari.. Hivi kuna wapumbavu wanaamini anachoongea mtoa post? Kwa misingi ipi? Mtu kufanyiwa upasuaji na kufariki mnaaminishwa katolewa kafara ? mnakubali?? Kweli tutakua na vilaza kweli kweli Tanzania
 
Back
Top Bottom