ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 82,927
- 89,141
Si ajabu nchi hii kuongoza uchawi Africa,hawa ni wasomi wanawaza hivyo je mbulula itakuaje?
Kuna watu sijui huwa wanafikiriaga nini Yaani msomi wa chuo kikuu tena kwenye mambo ya uchumi unayejua bank inaendeshwa kwa mfumo gani Leo unaongea haya.Yaani nakuona tu hapo location yako na unatumia device ya ofisi kukashifu bank. Mbaya zaidi unaropoka tu bila facts. Nakushauri tu kumbuka kuwa hapa jamiiforums maficho ni mafupi sana hivyo unaonekana na adui.Sisi wafanyakazi wa benki ya posta tunafanya kazi kwa hofu kubwa ya kufa.
Kwa mwezi wa tano na wa sita wanakufa wafanyakazi zaidi ya wanne.
Kila anayekufa lazima amwage damu.
Yaani hali ni mbaya sana.
Jana Kuna Dada wa HR kafa akiwa anafanyiwa upasuaji wa nyonga, hip bone.
Ilikuwa bank ya wanyalukolo. Na mnyalukolo asipojiua, basi kafa kwa kurogwa.Sisi wafanyakazi wa benki ya posta tunafanya kazi kwa hofu kubwa ya kufa.
Kwa mwezi wa tano na wa sita wanakufa wafanyakazi zaidi ya wanne.
Kila anayekufa lazima amwage damu.
Yaani hali ni mbaya sana.
Jana Kuna Dada wa HR kafa akiwa anafanyiwa upasuaji wa nyonga, hip bone.
Kufa kufa
Mwanadamu lazima afe
Kifo kinatafutaga sababu
Ova
Kuna dada wa Tanga akifanya hapo Postal Bank alifariki kama wiki mbili au siku kumi hivi zilizopita kwa uzazi, nasikia mwanae kasalimika Mungu AmkuzeSisi wafanyakazi wa benki ya posta tunafanya kazi kwa hofu kubwa ya kufa.
Kwa mwezi wa tano na wa sita wanakufa wafanyakazi zaidi ya wanne.
Kila anayekufa lazima amwage damu.
Yaani hali ni mbaya sana.
Jana Kuna Dada wa HR kafa akiwa anafanyiwa upasuaji wa nyonga, hip bone.
Demu yeyote tofauti na ndugu akiikita kwa muitiko huu lazima nidinde sijui kwaninj.....hapa cute b ushaniweka kwenye wakati mgumuAbeeey
Mmejaribu kucheki na Mshana Jr?Sisi wafanyakazi wa benki ya posta tunafanya kazi kwa hofu kubwa ya kufa.
Kwa mwezi wa tano na wa sita wanakufa wafanyakazi zaidi ya wanne.
Kila anayekufa lazima amwage damu.
Yaani hali ni mbaya sana.
Jana Kuna Dada wa HR kafa akiwa anafanyiwa upasuaji wa nyonga, hip bone.
Vifo Nane ndani ya miezi miwili then sehemu moja tu?
Sio kawaida hii
Pole PapushikashiDemu yeyote tofauti na ndugu akiikita kwa muitiko huu lazima nidinde sijui kwaninj.....hapa cute b ushaniweka kwenye wakati mgumu
Dah! Maneno makali sana mkuuKesho utakufa wewe tena utafia chooni
Asante cute...itika tena basi