Makafara yanatumaliza wafanyakazi benki ya Posta

Sisi wafanyakazi wa benki ya posta tunafanya kazi kwa hofu kubwa ya kufa.
Kwa mwezi wa tano na wa sita wanakufa wafanyakazi zaidi ya wanne.
Kila anayekufa lazima amwage damu.
Yaani hali ni mbaya sana.
Jana Kuna Dada wa HR kafa akiwa anafanyiwa upasuaji wa nyonga, hip bone.
mtakufa kweli wewe huoni kila ofisi akichaguliwa kibosile mpya lazima anunue sofa set mpya na kila kitu kipa unadhani wajinga wale au wanataka tu vitu vipya , yale masofa aliyoyakuta hata kama mapya yanatolewa analeta yake.
 
Sisi wafanyakazi wa benki ya posta tunafanya kazi kwa hofu kubwa ya kufa.
Kwa mwezi wa tano na wa sita wanakufa wafanyakazi zaidi ya wanne.
Kila anayekufa lazima amwage damu.
Yaani hali ni mbaya sana.
Jana Kuna Dada wa HR kafa akiwa anafanyiwa upasuaji wa nyonga, hip bone.
branch gani hiyo ???
 
Sasa benki ina wafanyakazi 1000+ Halafu wamekufa watatu mmoja kwa kuuliwa na majambazi, mwingine alifanyiwa operation akiwa anajifungua hospital hawakuwa na damu ya kumwongezea watatu nae ni operation Sasa Unataka
Sisi wafanyakazi wa benki ya posta tunafanya kazi kwa hofu kubwa ya kufa.
Kwa mwezi wa tano na wa sita wanakufa wafanyakazi zaidi ya wanne.
Kila anayekufa lazima amwage damu.
Yaani hali ni mbaya sana.
Jana Kuna Dada wa HR kafa akiwa anafanyiwa upasuaji wa nyonga, hip bone.

Una ushahidi?
 
Back
Top Bottom