Makafara yanatumaliza wafanyakazi benki ya Posta

Makafara yanatumaliza wafanyakazi benki ya Posta

Kufa kufa
Mwanadamu lazima afe
Kifo kinatafutaga sababu

Ova
 
Sasa benki ina wafanyakazi 1000+ Halafu wamekufa watatu mmoja kwa kuuliwa na majambazi, mwingine alifanyiwa operation akiwa anajifungua hospital hawakuwa na damu ya kumwongezea watatu nae ni operation Sasa Unataka


Una ushahidi?
Huyu aliyefariki akiwa anafanyiwa operation ilikuwa Kairuki siyo maana nilienda kumcheck ccsta akanipa story kama hiyo ya mfanyakazi wa bank ya Posta kufariki ila mtoto alisurvive
 
Tegeta Branch kafa meneja last week.
Sumbawanga branch kafa teller
Hapo Head office ndio usiseme
Uchawi kwenye maofisi ya serikali kawaida Sana,manake kuna watu wanageuza ofisi za umma kama kampuni binafci,ofcn kwetu pia ipo hiyo,watu wanaloga hatareee,ofisi ama idara ina watumishi 20,ila wanaoonekana na kuitwa kupewa majukumu na mkurugenzi ni wawili tu,wengine mnaonekana kama mavi.Halafu watu wenyewe wanaoonekana na kupewa kazi ama madil na maboss ukichek elimu,ujuzi hata uwezo wao utashangaa ajabu,mtu hata cheti Cha form 4 hana ila mkurugenzi anavyomsikiliza ukiona ni aibu tupu.
 
Hospital za serikali ni muhimu pale mgonjwa anapopungukiwa damu tofauti na hizo zao za binafsi wengi wao ni watu wanaojikweza
Niliwahi kwenda kumcheck jamaa yangu anaumwa nakutana na mama anaomba damu mtoto kapungukiwa ikabidi anikokote twende nikatoe ila bahati mbaya nilikua nimekula vitu tukatafuta jamaa mwingine pale pale mapokezi mchezo ukaisha nikaondoka kulala.
Mleta mada ondoa fikra potofu kichwani mwako.
 
Sisi wafanyakazi wa benki ya posta tunafanya kazi kwa hofu kubwa ya kufa.
Kwa mwezi wa tano na wa sita wanakufa wafanyakazi zaidi ya wanne.
Kila anayekufa lazima amwage damu.
Yaani hali ni mbaya sana.
Jana Kuna Dada wa HR kafa akiwa anafanyiwa upasuaji wa nyonga, hip bone.
Acha imani potofu wewe
Umepima afya yako?kuna wakati tpb ilikua inaongoza kuwa na mizigo minene Dar kuliko benki zote,hizo zitakua athari hasi zake
 
Back
Top Bottom