Makafara katika ujenzi wa magorofa

Makafara katika ujenzi wa magorofa

Sasa mbona wenzetu hawaongelei au hawajihusishi kama tunavto fanya huko TZ. Maana hapo Tz kila siku utasikia suala la uchawi

Wanaongelea sana sema wewe Pengine ulikuwa husomi magazeti na majarida na mitandao pia View attachment 312886hii ni screen shot ya the mirror la UK
 
Wanaongelea sana sema wewe Pengine ulikuwa husomi magazeti na majarida na mitandao pia View attachment 312886hii ni screen shot ya the mirror la UK

Dah kweli.
Lakini ndio hivyi sisi wa afrika tumeweka sana mbele uchawi kwa kila kitu. Tunatumia ailimia kubwa ya ubongo wetu kwa kufikiria uchawi badala ya creativity zingine.
 
Dah kweli.
Lakini ndio hivyi sisi wa afrika tumeweka sana mbele uchawi kwa kila kitu. Tunatumia ailimia kubwa ya ubongo wetu kwa kufikiria uchawi badala ya creativity zingine.

Hapana si kweli kabisa wee huoni huko kwa wenzetu mpaka serikali imekubali uwepo wa wachawi lakini huku kwetu bado
 
Mtu asikudanganye, dunia hii ina pande mbili ulimwengu tunauona na ule tunauhisi/ hatuuoni. lakini hizi zote zinafanya kazi kwa kutegemeana, mambo yote yanaanza kufanyika kwenye ulimwengu tusiouna kwanza halafu matokeo yake ndiyo tunayaona mwilini, yaani phyisical world. mtu akipata kitu alikipata kizuri au kibaya, kilikuwepo rohoni kwanza ndipo kikaja mwili.

Wapo wanaoona mambo haya, wachawi waganga wa kienyeji, watakatifu, baadhi ya viongozi wa dini zenye muunganiko wa kweli na Mungu wanaona.Hivyo ndiyo maana ni rahisi kumwambia mtu fanya hivi au hivi utashinda. mfano anayesema chumvi na mfupa wakitimoto alipata wapi hayo maneno? lazima aliambiawa na waona fahamu eimu hii. ni elimu njema kuijua maana ndiyo chimbuko la kufanikiwa kwetu.

Mtu akikwambia uongo mambo haya hayapo. either yeye anafaidika na upande huo na hataki wewe ujue ili usimpinge, au hajui kwa maana ni kipofu au anatumiwa aseme hivyo ili usifahamu. Kwa kawaidaa binadamu akifahamu kitu ukombozi unakaribia maana ataanza kupambani ili atoke, hivyo anayefaidika na ujinga wako hatapenda ujue ukweli.

Ndoto ni kigezo kikubwa cha kujua upande ulioko, kama unaota mabaya tu ujue jambo baya lipo upenuni linakuja, na kama unaota mema, ujue pia jambo jema lipo upenuni linakuja pia. ukiwa na maarifa unaweza kuyapinga mabaya na yasije, na ukiwa na maarifa unaweza kuyaita mema na yakaja.

Hivyo ni vyema sana kutafuta nafsi na kujifunza juu ya jambo hili kwani ndimo ufanisi wa ubinadamu ulimo. Kuna watu wamejaliwa kabisa wanaona mambo haya, japo inaweza kuwa kwa kipindi fulani kisha uwezo unapotea kulingana na alivyo jipanda na source ya uwezo huo.

Yaani kutokana na maelezo yako ndiyo maisha yangu yanavyokwenda. Mimi ni Mkrito na ninasali kawaida, mambo yangu mengi Mungu ananionyesha kwenye ndoto, ninaweza kuomba kazi, interview nikaota niko kwenye interview na maswali nitajibu na nitapata kazi, sasa nikiamka inabidi niandike maswali kwenye diary yangu, baada ya miaezi sita au mwaka ni kweli nitaomba kazi na interviwer sura itakuwa familiar baadae ndiyo ninakumbuka niliota hii ndoto.

Kazi yangu ya sasa inamajukumu ya kusafiri sana, ninapofika sehemu mpya nitakumbuka hii sehemu nilishafika, na ninakumbuka njia nilizopita, lakini baadae ndiyo ninakumbuka niliota.
Ni zawadi Mungu aliyonipa na inanisaidia sana.
 
Mkuu hayo maneno ni kweli au fix tu. Sijali nyumba iko sehem gani lakini kama huitaki niuzie. Ila kama unaitaka, mimi ni mjenzi nipe contract niimalizie kwa mkataba mzuri tu. Ni PM tuwasiliane. Natafuta majumba ka hayo yaliyokataliwa niwawezeshe wenye nazo kuingia. Wakiogopa, nipeni

Mimi nikwambile sijawahi kusema uongo wakati niko huru, na Mungu mpk saivi naamini ananipenda kwakua mitihani yote hii iliyonikuta bado naishi na watoto na mke wangu.
Nyumba ipo na nimemuacha mlinzi tuu ina kiwanje cha 60 kwa 90 futi na ni nyumba kubwa sana ipo eneo zuri, nilivutiwa sana na hapo pahali na niliishi miezi 6, ingawa bado haijamaliza. Nilipapenda sana Kama unaitaka hata kesho nitakuuzia
 
Ukiweza kafanye hivi utauza fasta.... Guaranteed hakuna side effects 1451054102742.jpg
 
Mimi nikwambile sijawahi kusema uongo wakati niko huru, na Mungu mpk saivi naamini ananipenda kwakua mitihani yote hii iliyonikuta bado naishi na watoto na mke wangu.
Nyumba ipo na nimemuacha mlinzi tuu ina kiwanje cha 60 kwa 90 futi na ni nyumba kubwa sana ipo eneo zuri, nilivutiwa sana na hapo pahali na niliishi miezi 6, ingawa bado haijamaliza. Nilipapenda sana Kama unaitaka hata kesho nitakuuzia

Ipo wapi mkuu naomba ni PM nikupe namba yangu ntaenda kuiona mengine kufuatia chap chap
 
Katengeneza roho itakayokuja kusumbua mno kakoroge chumvi hata kilo nzima umwagie hapo kisha fukia na fupa la kitimoto kabisa

Hayo yalishawai kutoke kwenye Nyumba yetu ya urithi kuna ndugu yetu wa karibu alimshauri mama afanye ivyo mama alikataa lakini aling'ang'ania mwisho mams alikubari shingo upande maana alikuwa ajawai kufanya akampa pesa afanye maana mama alikuwa mgonjwa akushiriki Nyumba ilikuwa no mpya.tulivyoamia ilikuwa shwali ila baada ya Siku 10 mama akafariki kimbembe kilianza tulikuwa tunasikia vyishindi juu ya dali,Mara kabati la vyiombo linasogezwa Mara namkuta mtoto yupo sebuleni mlango unatoa kishindo.tukaenda kwa shehe akatushauri tumtafute mganga aliweka vile vitu tukampata akaja kufanya dawa zake akadai masharti yamepuuzwa alitoa sharti la kutoomba moto kwa jirani nasi tuliomba.ndio mwisho wa timbwili lilipo isha na nyuma tukaiuzia mbali .ila nasikia alienunua akampangisha mlokole mauzauza anayoyaona mmm!
 
mshana jr
msaada kwenye tuta tafadhali.
nyumbani kwangu kuna bundi huja usiku na kulala kwenye upenu wa nyumba. Kwangu kero kubwa ni kunya na kuchafua sakafu jambo ambalo ni kero sana!
nifanyeje ili asije tena?
 
Choma mifupa ya kitimoto au kinyesi kikavu acha moshi usambae hilo eneo
 
mshana jr
msaada kwenye tuta tafadhali.
nyumbani kwangu kuna bundi huja usiku na kulala kwenye upenu wa nyumba. Kwangu kero kubwa ni kunya na kuchafua sakafu jambo ambalo ni kero sana!
nifanyeje ili asije tena?

Mwekeee kibanda , ni ishara nzuri ua ufugaji, nasikia yai lake ni dili
 
NAKUPENI CHINES TACTICS!
PAHALA AMBAPO UTATAKA KUJENGA JENGO LAKO NA KAMA HUPENDI MAMBO YA KICHAWI FANYA HIVI BUT IT COST/
TOA MCHANGA WOTE WA ENEO LA UJENZI KWA KINA CHA FOOT 5,PAKIA KATIKA MALORI KAMWAGE MBALI, THEN TAFUTA UDONGO MPYA UJAZE HAPO,KAMA KIFUSI IS MUCH BETTER! PROTECT JENGO LAKO KWA MABATI WEKA MLINZI MTU MBAYA ASIINGIE JENGA RAHA MUSTAREHE HAMIA!
ii
 
unajua hayo mambo uyasikie kwa mtu, nilijenga nyumba kule nyumbani ili mama apate kodi lkn cha ajabu nyumba ilikaa miaka 4 hakuna mpangaji yeyote, siku moja nililalamika kazin kuhusu hiyo nyumba ofisin kuna mtu akaniambia km mzaha tuu, mpangishe mtu hata kwa laki kwa mwez alafu utaona. Huwezi amini nilipata wanafunz 2 nikawaambia kaane mnipe lak 2, kwa miez 6. Loohh walifumuka wapangaji huwez amin tena wengine wanataka kulipa kwa dola nilitoa macho@mshana jr
 
Mimi yalinikuta hayo nilinunua site nilijenga fasta baada ya miezi 3 nikahamia, yaliyonikuta Mungu ndo anaejua. Kiukweli Nyumbani imenishinda nimeiacha ni majanga mpk Leo sijakaa Sawa.

Pole ndg kama ni Mkristo...chukua mchana....nenda kwa Mchungaji wako ukafanye toba ya a
ARDHI simamia Neno kutoka 2nyakati 7:14 INASEMA IKIWA WATU WANGU WALIOITWA KWA JINA LANGU WATAJINYENYEKESHA KUNIYAFUTA USO NITASIKIA TOKA MBINGUNI NITAPONYA NCHI YAO...ukimaanisha hayo Maombi utaishi hapo bila Zengwe kila la Heri ndg
 
Back
Top Bottom