dolevaby
JF-Expert Member
- Aug 25, 2013
- 12,955
- 9,527
Mengi, nilikosekana na ajali kama Mara 4,mpk siku moja nikapata ajali mbaya Kuna gari ikapanda juu ya gari yangu. tulikua tunalala mke wangu anakuta kitanda kila siku kinacheza, Kuna siKu Kuna mtu aliingia ndani akawa anataka kumuingiza Mtoto wangu kitu mke wangu akagimbana nae sana usingizini, asubuhi tunaamka mtoto amefanya mstari mweusi kwenye kifua.
Mbali ya hayo nilianza kuuza gari,niliuza kiwanja,niliuza duka, niliuza kila kitu.
Nikishtuka nilijua tayari Kuna Mambo siyaelewi na chanzo ni kuhamia Iyo sehemu mpk Leo bado naungaunga.
Daaah....pole ndg....Tatizo lako linawakuta watu wengi sana....Ila wengi hawajui namna yakupambana nahiyo hali Kwakawaida ARDHI ni Lango hicho kiwanja aliekuuzia Alikifanyia Zindiko sasa hilo zindiko ndio limeleta hayo yote Inatakiwa kila unaponunua Kiwanja au Kipande chochote cha Ardhi lazima ukitakase Kumbuka Habari za Musa alipoambiwa na MUNGU avue Viatu....daah....Mkuu nakusikitikia pia nakupa Pole lkn maarifa yakushinda majanga kama hayo wekeza kwa Mungu kwa kumaanisha...utatoka tu hata mimi nilikuwa naishi hovyohovyo tu lkn yaliponikuta nikautafuta USO wa Mungu sasa hivi najua mengi khs hayo mambo yakishirikina