Amina....ndugu yaah...kuhusu hiyo watu kulaumu ipo sana Kwamfano.....Umaskini wakati mwingine sikwamba MTU anapenda kuwa maskini ila MTU unatengenezewa utataabika km hujajishughulisha kuitafuta sababu.....MTU unabaki historia maisha utayaona sio kabisa Acha ndg yangu nimepitia hiyo misukosuko yakurogwa wacha kabisa....
Umefanikiwa vipi kwenye misukosuko hiyo mkuu? Tupe elimu na sisi huenda mikwamo yetu ikawa na sababu tusizozijua.
Watu wakishakushughulikia Hakuna kitu unafanya kikafanikiwa kama kz utafanya hujui wapi Pesa inaenda wengine wanakomeshwa wakiwa bado hawajazaliwa wenngine wakiwa kwenye Mishe za maisha mimi nilinyooshwa nikiwa hivi MTU mzima nasaka NOTI ila mpaka kuja kutoka kwenye hayo majanga ilinichukua muda sababu Kwaakili ya kawaida ningumu sana kuamini km Uchawi ndio unaokusumbua mbaya zaidi nikawa naenda kwa waganga nikiamini kuna Msaada kilichotokea nilienda mganga 1 akanichanja chale kwenye vishikio vya mkono akiniambia hiyo ni Dawa kumbe alinipandikiza Chuma ulete aaaarrrrg....wacha niishie hapo tu ndg yangu
Heri ya Christmas mkuu mshana jr inasemekana mahakamani kuna mauzauza mengi yemechimbiwaga MAHAKAMA zote Tanzania na wanadai mambo hayo yalifanyika chini ya Mwasisi wa Taifa Hili Mwl Nyerere. Je kuna ukweli au ni tetesi tuu?
Na kkama ni ndio alifanya hivyo kwa maslahi ya nani???
Yaani kutokana na maelezo yako ndiyo maisha yangu yanavyokwenda. Mimi ni Mkrito na ninasali kawaida, mambo yangu mengi Mungu ananionyesha kwenye ndoto, ninaweza kuomba kazi, interview nikaota niko kwenye interview na maswali nitajibu na nitapata kazi, sasa nikiamka inabidi niandike maswali kwenye diary yangu, baada ya miaezi sita au mwaka ni kweli nitaomba kazi na interviwer sura itakuwa familiar baadae ndiyo ninakumbuka niliota hii ndoto.
Kazi yangu ya sasa inamajukumu ya kusafiri sana, ninapofika sehemu mpya nitakumbuka hii sehemu nilishafika, na ninakumbuka njia nilizopita, lakini baadae ndiyo ninakumbuka niliota.
Ni zawadi Mungu aliyonipa na inanisaidia sana.
Endelea ndg ilii wengine waelewe Jf ni Kisiwa cha maarifa mkuu mshana jr tupe mbinu za kujikinga na uchawi.
Hahahahahaaa kuna nini huko chooni?
Hahahahahaaa duu
We jamaa ni mchawi. Ungemshauri amkabidhi Yesu maisha yake kwani Yesu hajawahi kushindwa.Katengeneza roho itakayokuja kusumbua mno kakoroge chumvi hata kilo nzima umwagie hapo kisha fukia na fupa la kitimoto kabisa