Mimi yalinikuta hayo nilinunua site nilijenga fasta baada ya miezi 3 nikahamia, yaliyonikuta Mungu ndo anaejua. Kiukweli Nyumbani imenishinda nimeiacha ni majanga mpk Leo sijakaa Sawa.
Dawa pekee hapo ni kuita watumishi wa kuaminika washushe maombi
Wenzetu ulaya ni wachawi sana kuliko unavofikiria lkn sio kama uchawi wa kiafrika. Mshana jr aliweka hapa mpaka vyuo wanasomesha.
Mengi, nilikosekana na ajali kama Mara 4,mpk siku moja nikapata ajali mbaya Kuna gari ikapanda juu ya gari yangu. tulikua tunalala mke wangu anakuta kitanda kila siku kinacheza, Kuna siKu Kuna mtu aliingia ndani akawa anataka kumuingiza Mtoto wangu kitu mke wangu akagimbana nae sana usingizini, asubuhi tunaamka mtoto amefanya mstari mweusi kwenye kifua.
Mbali ya hayo nilianza kuuza gari,niliuza kiwanja,niliuza duka, niliuza kila kitu.
Nikishtuka nilijua tayari Kuna Mambo siyaelewi na chanzo ni kuhamia Iyo sehemu mpk Leo bado naungaunga.
Mimi yalinikuta hayo nilinunua site nilijenga fasta baada ya miezi 3 nikahamia, yaliyonikuta Mungu ndo anaejua. Kiukweli Nyumbani imenishinda nimeiacha ni majanga mpk Leo sijakaa Sawa.
Ni tofauti sana. Uchawi wao ni wa mazingaombwe na hayamdhuru mtu, na ni tofaiti na uchawi wa kutumia majini na mashetani. Nime kaa huku ulaya miaka 15 na sijawahi kumsikia mzungu akisema anaenda kwa mganga ili afanikiwe au anaenda kumkomesha mtu. Lakini Tanzania utasikia karibia kila siku
mshana jr mimi nataka dawa ya kumuona mchawi na mwanga unayo?
ni jambo la kificho mno, lisilojulikana na wengine wengi lakini ukweli ni kwamba magorofa mengi uyaonayo yana roho za watu au imevunja mifupa ya watu kwa njia za ajali au yamekunywa damu ya kikafara
si mara zote wafanyao mambo haya ni wamiliki la hasha bali mambo haya hufanywa pia na wakandarasi na hata waliopewa tenda mbali mbali kwenye site husika... Nia na lengo ni moja tuu kupata zaidi au kujikinga kishirikina
kama tungekuwa na takwimu za kitaifa si ajabu kati ya kila magorofa kumi saba yamesababisha maafa vilema na makovu... Hili jambo lina level zake kuanzia kutoa kafara dogo la mtu mmoja mpaka ibada za makafara zifanywazo na makandarasi wakubwa kufikia viwango vya freemason
ndio maana kwenye ujenzi wa mahekalu makubwa ya ibada hufanyika ibada maalum za kumwomba mungu aepushe mbali mabaya yote kwenye ujenzi husika mpaka mwisho wa ujenzi wake.
Hata wewe kwa kutambua hili fanya hivyo kwenye ujenzi wako hata kama si ghorofa ili nyumba yako isije kuwa ni chanzo cha mabalaa na mitihani ya dunia
mshana jnr mimi nikiwa mbali na kwangu mambo yangu safi lakini kosa niende kwangu kisha niende kwenye mihangaiko yangu ni mabalaa kwenda mbele kama siyo ugomvi basi burst au biashara kugoma na mawasiliano yanakuwa mabaya nifanyeje?
Sasa ndugu yangu Brown73 unataka uchawi wa ulaya ufanane kila kitu na wa huku kwetu? Hii ni very wrong judgement... Kukaa ulaya miaka 15 haimaanishi unajua kila kitu cha huko... Kuna wahindi wa hapo Posta magorofani hawaijui tabata segerea wala kigodoro na maisha yao yote wapo hapahapa
Naona una notion ya kwamba wote tunaoandika hapa hatujawahi kufika au kuishi huko ulaya
Sasa kwa taarifa yako bwana Brown73 huko ulaya kuna na vyuo kabisa vya ushirikina na si mazingaombwe kama unavyotaka kutuaminisha hapa
Sija wahi kusikia vyuo vya Aina hiyo labda unitumie majina Yao na nchi zao, kila kitu siku hizi ziko wazi uki google tu utapata kila kitu

hii ni mada kuhusiana na hivyo vyuo baadhi lakini