Makabila Yetu na Urembo

Toa mfano Mkuu, haraka iwezekanavyo

Umesababisha nicheke sana mkuu, mbona umekaa "kigheshi gheshi"????
Au umesahau kuwa kwetu ukizaliwa tu tayari wewe ni Luteni usu!!!
Anyways, kutoa mfano kama unavyodai itakuwa ngumu, maana utahitaji nikutajie jina/majina, kitu ambacho sitaweza kukifanya. Lakini kama kweli unataka kuthibitisha, we jaribu tu mwenyewe kwa muda wako halafu utaleta majibu!!!! kwi...kwi...kwi....!!!!
 

kwanza.wahehe ni kweli wanakula mbwa.kuna kipindi fulani nilikuwa nasoma mkwawa high school nikawa nimetamani kwenda kubadili menu kutoka menu ya shule kwenda kwenye menu ya uraiani nikafika kwenye kajimgahawa ka kiubabaishaji pale iringa mjini nikamuagiza muuzaji wali nyama akaleta wali na nyama ,ajabu nikuwa ile nyama ilikuwa nyekundu kupita kiasi tofauti na nyama ya ng'ombe halafu haikuwa na fibres kama tulivyozoea nyama za kawaida ingekuwa kuku au samaki ningetambua,halafu ilikuwa na chumvi nyingi nikadhibitisha haikuwa nyama ya kawaida nikatema nikamlipa nikaondoka.nahisi alikuwa mbwa namtafuna.
pili.uncle julius inawezekana alishapewa mchezo na joyce sasa katika kupiga tungi akajisahau akalipua news kwa walevi wenzake ndio joyce akakasirika.naona hiyo ndio bifu kati ya hao wawili.tusidanyanyike wanawake wa kihehe kuwa ni strong na smart huo ni uongo kwani walikuwa wanatubembeleza sana wanafunzi pale mkwawa tuwaachie vijisenti vya kujikimu halafu tuwachezee,hapa mjini wafanyakazi wa ndani wengi wanatoka iringa halafu ukiwaudhi wanajiu kwa hasira au wanakuulia mtoto wako.
 
.........This thread was about Uncle J ??? Just askin'.....teh teh teh.
 
Lakini usisahau kusema pia wengi ni ma house-girl aka beki tatu !!

ihihihihihihihihiii...aisee kweli bana hata sisi tulikuwaga na housegirl mnyalu....

kelly inabidi aje hapa atoe maelezo....
 
Mpaka sasa Kelly anaongoza kwa point ila mambo ndiyo bado yanaanza kwani Nyani anawezza kugeuza kibao kwenye raudi za mwisho kwa kutoa pigo la KO.

Mzee Kichuguu wewe hufai kuwa mwamuzi katika mpambano huu maana uneonyesha upendeleo wa wazi wazi. Yaani unataka kunambia zile left hooks tatu zilizomyumbisha na ile uppercut iliyomlambisha sakafu hukuziona?...aisee nakata rufaa
 
no waaay!...kila kabila lina house girl siyo wanyaku peke yao.Sema tuu mlikuwa mnaona kama vile kila house girl ni mnyalu...mimi nimeona ma house girl wengi tuu wanatokea moshi,tabora,singida,bukoba just to name few....

Na kula mbwa bwana ww nanhiii hapo juu utakuwa umekula nyama ya swala ukadhani ni nyama ya mbwa au itakuwa wale nguruwe pori...unajua swala wanafanana kidogo na mbwa?
 
ihihihihihihihihiii...aisee kweli bana hata sisi tulikuwaga na housegirl mnyalu....

kelly inabidi aje hapa atoe maelezo....


Huyo wa kwenu atakuwa anatokea Makete kwa wa Kinga akasingizia yeye Muhehe....trust me.lol



alafu usiwe mbishi sana kwenye kukubali matokeo....
 

Hata siku moja sikuwahi kuona wala kusikia housegirl anatokea Tabora, Mwanza, au Shinyanga. Kwanza huko ni mbali sana na Dar. Sijui hata wangefikaje Dar....

Halafu mbona unawatetea sana Wanyalu? Na wewe ulikuwaga "Niangusage" nini? Lol
 
Hata siku moja sikuwahi kuona wala kusikia housegirl anatokea Tabora, Mwanza, au Shinyanga. Kwanza huko ni mbali sana na Dar. Sijui hata wangefikaje Dar....

Halafu mbona unawatetea sana Wanyalu? Na wewe ulikuwaga "Niangusage" nini? Lol


Wee mimi niangusage?....hahahaha anyways ngoja niwahi kwnaza si unajua nakwenda hustling...kabla rush hour jaijaanza kuwa mbaya si unajua ina-snow nje....i will be back......
 
Wee mimi niangusage?....hahahaha anyways ngoja niwahi kwnaza si unajua nakwenda hustling...kabla rush hour jaijaanza kuwa mbaya si unajua ina-snow nje....i will be back......

Eti unaenda ku hustle...heheheheheee...yaani na huku umekuwa housegirl? wanyalu kweli kiboko aisee
 
Interesting, thread imetekwa tunaangalia hivihivi, POA LAKINI!

aaah na wewe bana hebu acha zako hizo....wenzio tuko katika mood ya krismasi so anything goes.

jiunge na mwenzako pundit....yeye kaamua kuchukua likizo until after krismasi
 
jiunge na mwenzako pundit....yeye kaamua kuchukua likizo until after krismasi


Hivi! Ndiyo maana sijamuona. Kuna sehemu mtu kamzushia eti katolewa nje kwa sababu alikuwa anazungngumza kiingereza kigumu lol🙂

Aya bwana nyie endeleeni
 
Una meet qualifications za kuwa date? hebu nipe particulars zako
Particulars zipi umeniuliza kuhusu monie nimekwambia niko fiti unataka kujua nini tena? unachotakiwa kufanya ni ku bridge the gap tu btn mie na sistako mengine atakuambia mwenyewe
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…