Makabila ambayo bora uwe single


Mna penda kwenda kwa waganga na sehemu zenu za kuroga ni miliman nime kaa na wapare nawajua sanaaa
 
Mkuu
Japo sijaulizwa me ni mchaga wa machame upande wa Baba, Na mama ni kutoka old moshi,

Nashangaa sana huyu binti anasema wachaga ni wachawi , ni wachaga wapi hao anawaongelea
Binti alishindwa kuendana na akili ya pesa ya mchaga , amazima fegi kiazi huyo
 
yani ulivyojieleza ni kama wachaga walikukosea sana yani wachaga tuwe wachwi kuliko kabila lako?? hii nchi uchawi ukiwa kwa mchaga wafipa wasukuma waha wakinga waseme nini? wachaga tuna asili yetu matambiko ni kuomba neema na sio kulogana wewe umeshajijengengea imani potofu kwaiyo chichote kikikukuta utasema umechukuliwa nyota au umelogwa.
 
Sasa mtu amesha toka na mpare, mchaga , Mbulu, mkurya, mnyakyusa atakosa kupigwa matukio yanayo fanana na uchawi.

Mi mtakatifu bwana.
Eeeh ila kweli wewe ni good boy sina shaka na wewe kabisa
 
Nimeona wanaume wa kanda ya titi waliooa uchagani karibia wote wanakuwa na mahusiano mabovu na familia/wazazi na ndugu zao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…