Makabila ambayo bora uwe single

Duh......! Ngoja niperuzi maoni ya walioumizwa na uchambuzi wa mtaalamu wetu huyu.
Tusio na makabila kila kitu ni tawire.
 
Mimi ni mchaga w kibosho asili yangu ya baba , mama ni msomali ila wa asili ya wachaga wa machame , mimi nimekulia marangu kwa babu mdogo, toka 87 mpaka 95 nilipo ondoka na mama manyara babati kipindi hicho ni Arusha
Mkuu
Japo sijaulizwa me ni mchaga wa machame upande wa Baba, Na mama ni kutoka old moshi,

Nashangaa sana huyu binti anasema wachaga ni wachawi , ni wachaga wapi hao anawaongelea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…