Majuto ya Chid Benz

Hapa ni sawa na kusema unajifungia na mwanamke chumba kimoja halafu hufanyi kitu ila unajipima uwezo wako wa kuvumilia.My friend shetani hana urafiki na mwanadamu iko siku utaingia kingi na hapo ndio penye anguko lako...
 
Hapa ni sawa na kusema unajifungia na mwanamke uchi chumba kimoja halafu hufanyi kitu ila unajipima uwezo wako wa kuvumilia.My friend shetani hana urafiki na mwanadamu iko siku utaingia kingi na hapo ndio penye anguko lako...
Nitajie hiyo siku, tangu January 1 2024 sijanywa.

Pombe unaamua wewe mwenyewe kuipa umuhimu au kuipotezea tu.

Usifanye pombe kama kitu fulani ambacho hakiwezi kuepukika kabisa.

Mbona kuna watu wengi hawanywi pombe kabisa na maisha yao yako poa tu?

CC Intelligent businessman
 
Nasikia ana kaka yake yuko Ulaya na yeye ni machachari sana lakini sio kwenye mambo ya ulevi na uteja, angemvusha tu kwa kweli......
Chidi ameshindikana mkuu, watu wengi wamejaribu Sana kumsaidia ila ndo basi ameshindikana
 
A case study of chid inatuambia ameshindwaa
Kutokana na lifestyle yake na watu wanaomzunguka inakua rahisi kwake kurudi,ila mteja anaacha 100% kuna mifano kibao ya watu ninao wajua na angalia shuuda za watu katika vipindi vya television "an addict diary"

Wengine wakitoka sober huwa wanahama Hadi mji,.Kama chid anaishi ilala halafu katoka sober akirudi mtaani akipita Mtaa ambao Kuna pusher au akiona wenzake waliokua wanalewa wote tamaa lazima iwake
 
Ni kweli vitu vingine ni MUNGU pekeee anaweza kumbadilisha mtu.

Ni kweli huwezi kaa maskani za walevi lazima ujikwaaee
 
Alcohol free since January 1 , 2024.
Wengi huwa mnaacha si kwa kupenda ila kwa kulazimisha na mazingira hasa umri una kulazimisha uache pombe na ukishupaza shingo inavunjila
 
Hongera sana mkuu , mimi nilijaribu ila naona kama nilikurupuka
Alcohol free since october 2024.

Addiction ni mbaya sana, physically unaishi ila mentally ulishakufa mda sana hasa ikishakuwa kama hiyo ya chidy benz hakuna namna unaeza pona.
 
Angetolea ngoma hii story anarudi mjini
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…