Majuto: Sitatongoza mtandaoni tena

Majuto: Sitatongoza mtandaoni tena

Habari zenu wana MMU,
Usidanganyike na mada zao.
Usidanganyike na avatar zao
Usidanganyike na swaga zao.
Usidanganyike na usomi wao.
Usidanganyike na kejeri zao humu jukwaani.
Usidanganyike na kujifanya mambo safi
Wanaoponda wanaume wafupi, mara wasio na magari mazuri.
Wengi wao ukikutana nao hutaamini kile ukionacho mbele ya macho yako.
Huyu
Acha nipambane na hawa wa kina mwajuma ndala ndefu wa huku kwetu KIMBANGULIRE.
Leo ninatubu na storudia kumpenda mtu kwa avatar yake au picha.
Camera za 360 na simu za tecno zinawapendelea sana.
Nasema hivi .
(NIMETUBU SITARUDIA)
Muwe na na siku njema.
HAPA UMEZINGUA...SEMA UMEKUTANA NA NINI IN DETAIL
 
Kulikuwa na ulazima wa kumtumia Mh Pinda???

Umemkosea heshima. Yule ni baba pia.
Kuna comments ya mtu juu alisema sura ya Pinda sio kwa ubaya sasa na Mimi nikamuelezea hivo maana yeye anajiona mzuri sana. Mimi naamini binadamu wote wazuri kikubwa roho ya mtu. Hyo ilikuwa eboration tu
 
Kuna comments ya mtu juu alisema sura ya Pinda sio kwa ubaya sasa na Mimi nikamuelezea hivo maana yeye anajiona mzuri sana. Mimi naamini binadamu wote wazuri kikubwa roho ya mtu. Hyo ilikuwa eboration tu
Don't do that again,
 
Kuna mmoja nilimwambia DUUH! !! Hadi nimekutana na wewe humu mitandaoni, hii ni ishara ya mie kuachana na na habari za PM vinginevyo ntaja tongozwa na mjomba au baba mdogo au kaka... bora hata binamu ntakuwa nyama ya hamu.

Kikaishia hapo hatukutafutana TENA japo tulikuwa tunafahamiana kabla na heshima imebaki pale pale.

Pole kwa yaliyikusibu.
Hi Kasiee,
Miss you....
 
Una bahati mbaya tu mkuu,nimebahatika kuonana na watu wawili kupitia JF mmoja dada mwingine mshikaji, but tunawasiliana na kushauriana vema kabisa,sijui labda ww lengo lako lilikuwa nn mkuu?
 
Wewe sio wote na mmkome mnawatakaga hao halafu mnaishia kubaya kabisa yaone mkishindwa jamani nimetapeliwa nimehivi vile komeni .
Na wengine yanawaoa hawajui kupika wala kutunza mume wao ni cmu nakujiremba wewe umepauka kama nini mtakoma.
Kaeni na shida zenu.
Msituletee wengine tunaohata sisi presha na stress zetu sio zenu kila mara hili lile kwaajili ya warembo ai .
Dah!!
 
Acha uwongo yaani ulivyo mrembo hivyo
Nakazia mm sasa hivi kuweka avatar za watu sitaki kabisa nitajiweka mwenyewe tu na hivi ninavyofanana na sura ya baba angu sitaki shida
 
Back
Top Bottom