Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 43,242
- 90,420
Hahahaha mtani mie naomba Mungu hy siku ifike harakaHahahaaa. Nakwambia tena.
Duuuh! Haya tuombe uzima Mtani.![]()
,naona inachelewa tuHahahaha mtani mie naomba Mungu hy siku ifike harakaHahahaaa. Nakwambia tena.
Duuuh! Haya tuombe uzima Mtani.![]()
,naona inachelewa tuHahahaaa. Itafika tu Mtani ila kuisogeza karibu ngoja nimuombe ruhusa Sesten Zakazaka kama akikubali Mtani basi tunapanga tu. 😜😜😜😜😜Hahahaha mtani mie naomba Mungu hy siku ifike haraka,naona inachelewa tu
Hahahaha, haina tatizo sidhani km atakukutalia ,kwa sie wahenga kukutanaHahahaaa. Itafika tu Mtani ila kuisogeza karibu ngoja nimuombe ruhusa Sesten Zakazaka kama akikubali Mtani basi tunapanga tu.
lol.

Pole sana mkuu, sio JF tuu hata Facebook hukooo. Hahaha umenikumbusha mbali sana. Tulikua na demu mmoja ofisini, dah kituko, kajichubua balaa, shapeless, pasi ya umeme. Ila sasa picha zilizopo FB aah hatari lazima unateee, pozi za kufa mtu, anatumia Camera360 tena. Ukiongea naye kwenye simu ndio anakumaliza kabisa daaahh!!! Na ukicheki profile ana friends karibia 500 na wengi ni vidume. Naamini wengi aliwaumiza maana alikua dada poa flani pia.Habari zenu wana MMU,
Usidanganyike na mada zao.
Usidanganyike na avatar zao
Usidanganyike na swaga zao.
Usidanganyike na usomi wao.
Usidanganyike na kejeri zao humu jukwaani.
Usidanganyike na kujifanya mambo safi
Wanaoponda wanaume wafupi, mara wasio na magari mazuri.
Wengi wao ukikutana nao hutaamini kile ukionacho mbele ya macho yako.
Huyu
Acha nipambane na hawa wa kina mwajuma ndala ndefu wa huku kwetu KIMBANGULIRE.
Leo ninatubu na storudia kumpenda mtu kwa avatar yake au picha.
Camera za 360 na simu za tecno zinawapendelea sana.
Nasema hivi .
(NIMETUBU SITARUDIA)
Muwe na na siku njema.
😂😂😂😂 Haya bana Mtani.Hahahaha, haina tatizo sidhani km atakukutalia ,kwa sie wahenga kukutana![]()
![]()
![]()
![]()
Mtani mie mzima kabisa ,sijui wewe mtani wangu ,karibu tupate cafeHaya bana Mtani.
Mzima lakini?

Utaleta maombi rasmi yakiwa na maelezo yakina halafu itawekwa mizani kuangalia uzito wa sababu, viwango vya usalama na kama suala la kutekana sio tu halitakuwepo wala kwenye mipango na fikra halijapangwa....hii ni pamoja na kuzingatia hutaruhusiwa kutembea peke yako kwenda kwenye huo mualiko aua hata gym😉 HajarHahahaaa. Itafika tu Mtani ila kuisogeza karibu ngoja nimuombe ruhusa Sesten Zakazaka kama akikubali Mtani basi tunapanga tu. 😜😜😜😜😜
😂😂😂😂😂 lol.
Yatakapo kuja maombi rasmi nitayachakata na kuyatolea majibu stahikiHahahaha, haina tatizo sidhani km atakukutalia ,kwa sie wahenga kukutana![]()
![]()
![]()
![]()



Mkali ungeuchuna tu, wala ilikuwa haina haja ya kuja kumsema hapa maana maji ukiyavulia nguo lazima uyaoge. Lakini kubwa zaidi hata ukikuta kitu ambacho ni tofauti na mategemeo yako usikimbilie kumletea shombo humu ndani, huwa haipendezi. Kuna kipindi ukija kukua hutawaangalia watu kwa sura zao wala maumbile na utakuja fahamu kwanini nasema hivi....Ndo hivyo mkuu , jina, mada zake pamoja na avatar vilinifanya ni usiku mzima nisilale nikiingonjea siku ya kuonana na mrembo matata, ila niliyekutana nae sina budi kutubu na kumrudia mola wangu au nikomae na wa huku uswazi kwetu.



Mie niko salama kabisa.Mtani mie mzima kabisa ,sijui wewe mtani wangu ,karibu tupate cafe![]()
Hahahaaaaa. Nimejikuta nakuelewa tu Sesten nitafanya hivyo.Utaleta maombi rasmi yakiwa na maelezo yakina halafu itawekwa mizani kuangalia uzito wa sababu, viwango vya usalama na kama suala la kutekana sio tu halitakuwepo wala kwenye mipango na fikra halijapangwa....hii ni pamoja na kuzingatia hutaruhusiwa kutembea peke yako kwenda kwenye huo mualiko aua hata gym😉 Hajar
Hizi ndio thread pendwa huku MMU na chitchat. Siku moja tu unaweza kukuta ina pages hata 50! Ukisoma maandishi utaona watu wanajidai kumponda mleta mada kwanini kaja kusimulia huku au kwanini anakosoa uumbaji wa Mungu, ila ukisoma katikati ya mistari utaona wengi wanainjoi sana the whole drama na wanatamani huyo 'aliedhalilishwa' hapa atajwe wamjue sasa sijui wakishamjua inasaidia nini.Mkali ungeuchuna tu, wala ilikuwa haina haja ya kuja kumsema hapa maana maji ukiyavulia nguo lazima uyaoge. Lakini kubwa zaidi hata ukikuta kitu ambacho ni tofauti na mategemeo yako usikimbilie kumletea shombo humu ndani, huwa haipendezi. Kuna kipindi ukija kukua hutawaangalia watu kwa sura zao wala maumbile na utakuja fahamu kwanini nasema hivi....
Yatakapo kuja maombi rasmi nitayachakata na kuyatolea majibu stahiki
Hu DRC kwema lakini mkuu? Nilikua pande za Beni(kama waenda Butembo) hadi Bunia masiku kadhaa yaliopita
Anadanganyikaje na avatar huku akitambua fika sio picha halisi ya mtu anayewasiliana nae?Kilichomtokea ni kama hiyo avatar yako, akutongoze halafu akikutana na wewe anagundua yuko na kifaa cha kumsaidia Mtoto Kunywa Uji vizuri na kwa utulivu
Hahaha kwani wewe unataka sura yake au papuchi?
Hahahahaaaa, ulitegemeaje mkuu… yaani unaachaje kumpenda uliyemuona kwa macho mpaka uweke nguvu nyingi kwa mtu usiyemjua…. Wabongo ni waigizaji kwa kila jambo, teteteteeehHabari zenu wana MMU,
Usidanganyike na mada zao.
Usidanganyike na avatar zao
Usidanganyike na swaga zao.
Usidanganyike na usomi wao.
Usidanganyike na kejeri zao humu jukwaani.
Usidanganyike na kujifanya mambo safi
Wanaoponda wanaume wafupi, mara wasio na magari mazuri.
Wengi wao ukikutana nao hutaamini kile ukionacho mbele ya macho yako.
Huyu
Acha nipambane na hawa wa kina mwajuma ndala ndefu wa huku kwetu KIMBANGULIRE.
Leo ninatubu na storudia kumpenda mtu kwa avatar yake au picha.
Camera za 360 na simu za tecno zinawapendelea sana.
Nasema hivi .
(NIMETUBU SITARUDIA)
Muwe na na siku njema.
Bora utongoze fesibuku kuliko JF mkuu humu kuna mademu wanamzidi mizengo pinda
wacha ninyamaze tu mkuu mana nikisema na mim ntaonekana nawaponda.