Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,190
- 128,240
anazingatia swala la sura kwani anataka apige naye selfie??Hahaha kwani wewe unataka sura yake au papuchi?
anazingatia swala la sura kwani anataka apige naye selfie??Hahaha kwani wewe unataka sura yake au papuchi?
Basi msilalamike unataka kizuri umba chako au unaenda kwa madanguro ila humu JF mtaishia kulalamika maana hili ni jukwaa la watu na sio sehemu ya kutafta ma miss worldNdivyo tulivyoumbwa wanaume Dada yangu!
Sijui kwanini nikimuonaga Simara namfananishaga na wewe,kwanzia uandishi hadi avatar mnakaupacha flan kijeifu jeifuHahaaaa makubwa haya hivi unavutiwaje na avator ya mtu eti ndo upendo kah kwani mtu akiwa na hyo sura kajiumba yeye si ndo alivozaliwa you can't change it umba wa kwako mzuri, mi ndo mana hushangaa watu humu anataka akuone sura na picha ili iweje. JF ni mtandao mzuri ukiutumia positive wengine tumekutana na watu humu twaheshimiana no utoto sijui sura, status tumekuwa wote Mengi.
Bora utongoze fesibuku kuliko JF mkuu humu kuna mademu wanzamzidi mizengo pinda

Habari zenu wana MMU,
Usidanganyike na mada zao.
Usidanganyike na avatar zao
Usidanganyike na swaga zao.
Usidanganyike na usomi wao.
Usidanganyike na kejeri zao humu jukwaani.
Usidanganyike na kujifanya mambo safi
Wanaoponda wanaume wafupi, mara wasio na magari mazuri.
Wengi wao ukikutana nao hutaamini kile ukionacho mbele ya macho yako.
Huyu
Acha nipambane na hawa wa kina mwajuma ndala ndefu wa huku kwetu KIMBANGULIRE.
Leo ninatubu na storudia kumpenda mtu kwa avatar yake au picha.
Camera za 360 na simu za tecno zinawapendelea sana.
Nasema hivi .
(NIMETUBU SITARUDIA)
Muwe na na siku njema.
Usidaganywe na avator yangu na comments zangu Mimi na sura ka ya Pinda kabisa oooh, si chochoteUna avatar nzur mkuu..i hope umefanana nayo
Turudi kwako cariha hako kaavator Kako nimekapenda vipi ndio wewe mwenyewe au ndio mafekechoKimekutokea nini mkuu, ila wewe una tatizo utampendaje mtu kwa avator, sijui picha, au comments, ujue huo ulikuwa upendo fake ila ungependa moyoni wala usingeona shida, mi ndo maana hushangaa mtu ansyevutiwa na mtu kisa picha kah BY the way wa mtaani na JF ndo hao hao. Jifunze kupenda mtu bila kuweka hisia
Usidaganywe na avator na comment Mimi sura yangu ka ya Remmy ongala usije kutana nami ukanikimbia na kunianzishia Uzi bure humu JFTurudi kwako cariha hako kaavator Kako nimekapenda vipi ndio wewe mwenyewe au ndio mafekecho
Hahahaha ,aseeHahahahahahah, ni noma mkuu kuna moja niliwahi ivutia whatsapp kucheki kumbe ni baamed af kolo kinoma nikaona isiwe kesi, since then no shobo humu! Tuchat tu yaishie hapa
anazingatia swala la sura kwani anataka apige naye selfie??
Haaa alitaka kuonana na hako hapo kwenye avatarpole kwa yaliyokukuta mkuu😛,ila ndyo umekuja kunisema huku aisee,najuta kuonana na wewee(joke)
Hahahahaha cariha ila me ushauri wangu muwe mnaweka avator ambazo zinaendana nanyinyi bac ili siku tukikutana mshtuko wetu usiwe mkubwa hii si kwawanawake tu bali hata kwavidume, mwanaume unasura kama wasira alafu unaweka evator ya chriss brownUsidaganywe na avator na comment Mimi sura yangu ka ya Remmy ongala usije kutana nami ukanikimbia na kunianzishia Uzi bure humu JF