Majuto: Sitatongoza mtandaoni tena

Majuto: Sitatongoza mtandaoni tena

Habari zenu wana MMU,
Usidanganyike na mada zao.
Usidanganyike na avatar zao
Usidanganyike na swaga zao.
Usidanganyike na usomi wao.
Usidanganyike na kejeri zao humu jukwaani.
Usidanganyike na kujifanya mambo safi
Wanaoponda wanaume wafupi, mara wasio na magari mazuri.
Wengi wao ukikutana nao hutaamini kile ukionacho mbele ya macho yako.
Huyu
Acha nipambane na hawa wa kina mwajuma ndala ndefu wa huku kwetu KIMBANGULIRE.
Leo ninatubu na storudia kumpenda mtu kwa avatar yake au picha.
Camera za 360 na simu za tecno zinawapendelea sana.
Nasema hivi .
(NIMETUBU SITARUDIA)
Muwe na na siku njema.
Ndugu hebu dadavu kidogo
 
Wacha weee. Kwahiyo wewe mbaya? Kina sisi tusemeje halafu? umenifanya nimkumbuke @Wambeke
Mtoa mada kakosea sana JF, hatupigani vijembe ukiona umeokota shubiri badala ya embe dodo unapiga kimya, that's the way of great thinker's. mbona tumekutana na wengi tu was hivyo ? mnapiga kichwaji nyama choma baadae kila MTU kivyake.mambo ya mitandaoni ni mitamu Ila akili mu mnywele....
 
Tatizo analalamikia na hela zake alizospend kwa mrembo wa avatar

Back
Top Bottom