Majuto: Sitatongoza mtandaoni tena

Majuto: Sitatongoza mtandaoni tena

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wanasemaga uzuri wa mtu upo machoni kwa mtu rafiki.

Tunaweza jitutumua hapa ila mwisho wa siku kila mmoja jicho lake likaona lwake. [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Hahahaha
 
Mapenzi ya mtandaoni kudanganyana tu kuna jamaa mmoja alipanga kuonana na mwanamke fb kumbe walionana nikiwa Dar ilibidi jamaa ale kona sababu kumbe alizania kisu kumbe tayari age imekwenda jamaa anazima simu namuona [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Ndiooo Mtani. [emoji85][emoji85][emoji85][emoji85]

Naweza jiona niko level zingine ila siku ya kunioa ukitoka hapo unajuta kuchoma mafuta yako. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahaha, mtani kwako sina hofu kabisa, sitojutia kuonana na wewe ,ila je wewe huwezi kujutia kuonana na mm?
 
Mkuu Ebu Tupiako Kapicha Tuwaone Akina Mwajuma Ndala Ndefu Wa Huko Kwenu Huwenda Na Sisi Tukatubu Kama Wewe Hahahahahahah
 
Hahahaha, mtani kwako sina hofu kabisa, sitojutia kuonana na wewe ,ila je wewe huwezi kujutia kuonana na mm?
Hahahaaaa. Sinaga hizo mambo Mtani sijui ndio Uhenga huu nilionao. πŸ™ˆπŸ™ˆπŸ™ˆ

Ikija kutokea Mtani walaaaa usihofu kabisaaaa.
 
Hahahaaaa. Sinaga hizo mambo Mtani sijui ndio Uhenga huu nilionao. [emoji85][emoji85][emoji85]

Ikija kutokea Mtani walaaaa usihofu kabisaaaa.
Hahahaha, nakuaminia mtani ,najua siku hy itakua ya mfano,uzuri sie wahenga hatuna haya mambo [emoji23] [emoji23] , natumai siku yenyewe yakaribia[emoji6] , ila mtani unavyoziba uso km hv [emoji85] kwan unaogopa nn
 
[emoji23][emoji23][emoji23] Uuuwiiii.

[emoji126][emoji126][emoji126][emoji126][emoji126] mie nafanana na Babu yangu Mtani. [emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahaha, acha masihara ,wanaofanana na babu zao wanasemaga? mie nitajionea hy siku ya siku tutakayopanga [emoji6] [emoji6] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Hahahaha, acha masihara ,wanaofanana na babu zao wanasemaga? mie nitajionea hy siku ya siku tutakayopanga [emoji6] [emoji6] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hahahaaa. Nakwambia tena.

Duuuh! Haya tuombe uzima Mtani. πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Back
Top Bottom