Majuto: Sitatongoza mtandaoni tena

Majuto: Sitatongoza mtandaoni tena

Alietoa pesa bandia kauziwa cheni bandia.
kuchanika kwa jamvi sio mwisho wa maongezi mkuu. Umekata tamaa mapema sana. Kwanza ulijua unaenda kukutana na Priyanka Chopra au? Maana umeumia kweli kweli. Na wewe una mvuto kidogo au unataka tu kukutana na wanawake warembo?
Baada ya huu uzi unadhani uliekutana nae atajisikiaje umemulna ni mbaya? Maumivu mengine tubaki nayo tu mioyoni. Sasa unadhani kuna mwanamke mwingine huku atataka kuonana na weww ili aje kunangwa muonekane wake? Fikiri kabla hujatenda.
Anatuharibia sana huyu meeting zitakufa nyingi sana hapa
 
Ndo hivyo mkuu , jina, mada zake pamoja na avatar vilinifanya ni usiku mzima nisilale nikiingonjea siku ya kuonana na mrembo matata, ila niliyekutana nae sina budi kutubu na kumrudia mola wangu au nikomae na wa huku uswazi kwetu.
ha ha ha ha
 
Habari zenu wana MMU,
Usidanganyike na mada zao.
Usidanganyike na avatar zao
Usidanganyike na swaga zao.
Usidanganyike na usomi wao.
Usidanganyike na kejeri zao humu jukwaani.
Usidanganyike na kujifanya mambo safi
Wanaoponda wanaume wafupi, mara wasio na magari mazuri.
Wengi wao ukikutana nao hutaamini kile ukionacho mbele ya macho yako.
Huyu
Acha nipambane na hawa wa kina mwajuma ndala ndefu wa huku kwetu KIMBANGULIRE.
Leo ninatubu na storudia kumpenda mtu kwa avatar yake au picha.
Camera za 360 na simu za tecno zinawapendelea sana.
Nasema hivi .
(NIMETUBU SITARUDIA)
Muwe na na siku njema.
😀😀😀
 
Back
Top Bottom