Majuto: Sitatongoza mtandaoni tena

Majuto: Sitatongoza mtandaoni tena

We mama utakuwa garasa halafu mashauzi kama yote

jikubali tu usijipe usivyonavyo
Wewe sio wote na mmkome mnawatakaga hao halafu mnaishia kubaya kabisa yaone mkishindwa jamani nimetapeliwa nimehivi vile komeni .
Na wengine yanawaoa hawajui kupika wala kutunza mume wao ni cmu nakujiremba wewe umepauka kama nini mtakoma.
Kaeni na shida zenu.
Msituletee wengine tunaohata sisi presha na stress zetu sio zenu kila mara hili lile kwaajili ya warembo ai .
 
Tuma basi tufunge huu mjadala.
Haya tiririsha sifa sasa
IMG_20181030_201738_459.jpeg
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] ...na huwezi kuwa mzuri ukajitangaza! Wazuri hawajitangazagi wala kuweka mabango!...lazima kutakuwa na kasoro inayokutuma kujishow off!
Irish descent tu mkuu, lazima mtu afanye imagination tu asee[emoji125][emoji125][emoji125][emoji39]
 
Inawezekana pia
Ujumbe tumeupata.. ndo maana mimi sitaki kuwakonfyuz wapenzi watazamaji naweka avatar yangu au ninayo fanana nayo siku hizi. Niliweka avatar ya mdada mweusi siku mtu kaniona akaniambia alijua na mimi nitakua mweusi kama ile avatar. Nikasema sasa yale mambo ya kuwaaminisha watu mimo beyonce kumbe ebitoke yaishe.
 
Back
Top Bottom