CHAI CHUNGU
JF-Expert Member
- Feb 20, 2012
- 7,113
- 943
Ya Kinyarwanda ndio balaa zaidi.
"NDI **** NA"
"NDI **** NA"
Na wewe umemshtukia eh?
charminglady ana identical twins boys, wazurije sasa?? ni jirani na parents wangu kabisa.nampenda sana hyu jamaa, kwa msisitizo anaitwa Tundu Antipas Mughwai Lissu!
NOTE: sio kwamba nampenda kimapenz tafadhali nisieleweke vibaya!
Na ya kijapani je? Mwenzenu naona hata aibu kuyataja.
Mwenye ubavu ayaanike hapa.
:glasses-nerdy::glasses-nerdy:Justification ikizidi?:glasses-nerdy::glasses-nerdy:
charminglady ana identical twins boys, wazurije sasa?? ni jirani na parents wangu kabisa.
Bora na wewe umeiona!
Mi nikidhani nimeiona mie tu! Justification ndefu kuliko comments! Namna hivi kama Interpol wanafatilia issues wakikufumania kiivi , wana wewe!
Na utaisidia Police!
ngengemkeni mito mingi
Tola
Ngeleja
Hifikipunye Pohamba
hahaa, Judgement bwana ina mana hujaelewa ama wajidai kutonielewa?
Charm bwanaa! Mbona alieanza kukuchokoza ni Kongosho ?
Mi nikajazia tu kiduchu alipoishia Pancrease!
Konnie umemuacha anapeta! Ukanifata mie mnyonge!
Jamani sie wenye vifua vidogo tutanua kweli ? Bt pamoja na vichest vyetu vidogo, tukiingia mtamboni hua hapatoshi ! Tukipanda,
wakati match ya futboli inaanza!
Tukishuka,
halftime dkk 45 zimeondoka!
Kama unabisha muulize nanihii ....