Majina yenye mvuto!

Majina yenye mvuto!

Naomba tujikumbushe majina yenye mvuto halisi wa Kiafrika.

1: Ngengafibili mwaikugile

2: Tuntemeke Sanga

.......Endeleeni kuyamimina mengine.

Njegafibili Mwaikugile
 
Jamani Mimi majina ya kisauzi Afrka ya asili yananipa shida sana kutamka, yaani jina unasubiri anayejua kulitamka atamke kwanz ndio na wewe ufuatie, kama unafundishwa kusoma vile!, akikosea kidogo kutamka na wewe umekosea pia, hujui hata kulirekebisha!
 
1. Arnold Schwarzenegger
2. Mwingilapasi Malanga Simanofu
3. Jidulamabambasi Nzugile
4. Andongolwisye Angumbwike Mwakasakafyuka
 
Jamani Mimi majina ya kisauzi Afrka ya asili yananipa shida sana kutamka, yaani jina unasubiri anayejua kulitamka atamke kwanz ndio na wewe ufuatie, kama unafundishwa kusoma vile!, akikosea kidogo kutamka na wewe umekosea pia, hujui hata kulirekebisha!

kama hili "Kefilwe Khumalo"?
 
Palamagamba Kabudi hilo neno magamba limefanya jina zima lipoteze mvuto
 
Mtutula
Simba chawene
Zitto Kabwe
Mwaisapile
Deo Mkuki
Kinyogoli
Marapa
Wasiwasi Mwabulambo
Kinjekitile Ngwale
 
Na ya kijapani je? Mwenzenu naona hata aibu kuyataja.
Mwenye ubavu ayaanike hapa.
 
Eeeh, sijui ninavyojitahidi kulisoma ni sahihi but sitoweza kulitamka hadharani, naogopa, naona aibu, tamka mwenyewe tu Mheshimiwa, Mi niachie kazi ya kulitype tu kwenye kompyuta but usisahau kunisomea spelling zake tena!
kama hili "Kefilwe Khumalo"?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom