ngoja waje wathibitishe...
Vigezo na masharti kuzingatiwa. Hebu msome Preta hapo juu.
FYI neno la Preta ni amri Atown na lina baraka za Bikira Maria. Akisema Filipo anatia muhuri, PakaJimmy anaweka signature na Mzee wa Rula anahifadhi kwenye mafaili tayari kwa utekelezaji.
Copy kwa Blaki Womani na sweetlady kwa utekelezaji zaidi.

wiseaboy je?
Naunga mkono hoja, Kongosho mpaka leo bado simuelewi, Finest huyu jamaa kapotea lakini jina lake linasadifu matendo yake jukwaani, Blaki Womani kweli nadhani dada huyu ni blaki, Asprin nadhani yeye ni mzee wa kutoa maumivu tehe tehe, n.k