Blaki Womani
JF-Expert Member
- Feb 28, 2011
- 11,229
- 13,431
Amepeleka ile biashara yake ya kope bandia eeh?
hahahahaahhaha wifi lipa basi deni
Amepeleka ile biashara yake ya kope bandia eeh?
hivi sijakwambia........siku hizi ameanza biashara ya mkorogo......kama unataka muagize....mjini kila mtu mweupe siku hizi.......
nimeleta dawa za kukuza manyonyo nitakupitishie jioni mwambie na sweetlady
Nimeshaongea na wale jamaa wa clearing & forwarding Blaki Womani wamesema zile container zako ziliingia jana.
We chezea akili yangu utaiona hiv brada Bishanga mbona sijamuona
Hahahaha! Mwambie aniletee caro light vibobo vitanohivi sijakwambia........siku hizi ameanza biashara ya mkorogo......kama unataka muagize....mjini kila mtu mweupe siku hizi.......
rafiki naona huyu jamaa anataka kukujazia nzi tu, si unajua vimwana siku hizi wanapenda wazee? wangejua ni kijana mwenzao! lol!ha ha haa wewe bana CV inarembwa hapa lol...
hakikisha unazilipia kabisa tutagawana profit......leo kijiwe wapi
Hahahaha! Mwambie aniletee caro light vibobo vitano