Majina ya Wana JF na hulka zao; unawazaje?

kuna mtu anaitwa The Boss au boss,ana picha ya Denzel,nahisi ni mtu kwenye early 40's,mstaarabu,judges wisely,,,namkubali sana huyu mtu ,huyu kingkongIII atakuwa mtu addicted na computer na mziki kila saa earphone masikioni alafu ni mzururaji mkubwa sana charminglady Lady B sweetlady ni wake za watu na waume zao wako humuhumu,,,wana uwezo wa kuzungumza zaidi lakini wanaogopa.......thats my real judgement ya hawa watu..... Boflo atakuwa ni paparazi Mbuzimzee ni babu flani hivi alikuwa mhuni sana enzi za ujana wake Mtambuzi ni mtu mkali sana kwenye familia yake....no offence
huyo The Boss ana mawazo tu ya busara lakini hata 35 hajatimiza, lol!
 
Last edited by a moderator:
kuna mtu anaitwa The Boss au boss,ana picha ya Denzel,nahisi ni mtu kwenye early 40's,mstaarabu,judges wisely,,,namkubali sana huyu mtu ,huyu kingkongIII atakuwa mtu addicted na computer na mziki kila saa earphone masikioni alafu ni mzururaji mkubwa sana charminglady Lady B sweetlady ni wake za watu na waume zao wako humuhumu,,,wana uwezo wa kuzungumza zaidi lakini wanaogopa.......thats my real judgement ya hawa watu..... Boflo atakuwa ni paparazi Mbuzimzee ni babu flani hivi alikuwa mhuni sana enzi za ujana wake Mtambuzi ni mtu mkali sana kwenye familia yake....no offence
Hahahahaha! We snochet hebu ntake radhi mie lol, mwenzio niko kwenye mitihani ya kumaliza kidato cha nne! Huyo mume nmtoe wapi? Nna mchumba anaitwa Filipo.
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom