Majina ya Wana JF na hulka zao; unawazaje?

Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Tabia za wote humu CC, ni kubofya bofya keyboard kwa misifa halafu kurefresh browser kila mara wakiwa JF.
 
Boflo hebu kuja kipande hii ubhaezee bhandugu front page yangu na way back ako vipi!kam bana af leo uko doro sana vipi watu waliiitikia wito wa ile offer ya massage nini?na nnavokujua ukatoa na bonus kabisa ileeeeeee............ahahahha hebu kam huku!
 
Last edited by a moderator:
kuna mtu anaitwa The Boss au boss,ana picha ya Denzel,nahisi ni mtu kwenye early 40's,mstaarabu,judges wisely,,,namkubali sana huyu mtu ,huyu kingkongIII atakuwa mtu addicted na computer na mziki kila saa earphone masikioni alafu ni mzururaji mkubwa sana charminglady Lady B sweetlady ni wake za watu na waume zao wako humuhumu,,,wana uwezo wa kuzungumza zaidi lakini wanaogopa.......thats my real judgement ya hawa watu..... Boflo atakuwa ni paparazi Mbuzimzee ni babu flani hivi alikuwa mhuni sana enzi za ujana wake Mtambuzi ni mtu mkali sana kwenye familia yake....no offence
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom