Majina ya Wana JF na hulka zao; unawazaje? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Majina ya Wana JF na hulka zao; unawazaje?

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Wimana, Oct 11, 2012.

 1. W

  Wimana JF-Expert Member

  #1
  Oct 11, 2012
  Joined: Jun 28, 2012
  Messages: 2,453
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 145
  Wana JF, kama ilivyo majina mengine, mtu anapojipachika ID humu JF anakuwa na maana yake. Kwa IDs zao au michango yao, unaweza kuhisi hulka au tabia zao. Haya ni mawazo yangu juu ya wafuatao:
  IGWE, mtu mfupi, mbishi, anapenda kunyenyekewa.
  Mwanakijiji. mdogo, mwembamba, mbishi mwenye uwezo wa kujenga hoja. Hata hivyo yu tayari kukubali anapokosea.
  Cacico. Dada mtulivu, mwenye mapozi but but very loving.
  Smile. Aliwahi kutoswa kwenye mahusiano, haamini mtu, yuko tayari kuwa single, liwalo na liwe.
   
 2. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #2
  Oct 11, 2012
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  ngoja waje wathibitishe...
   
 3. Madame B

  Madame B JF-Expert Member

  #3
  Oct 11, 2012
  Joined: Apr 9, 2012
  Messages: 24,128
  Likes Received: 4,995
  Trophy Points: 280
  Madame B je?
   
 4. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #4
  Oct 11, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 43,744
  Likes Received: 12,822
  Trophy Points: 280
  Woooooooooooooow

   
 5. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #5
  Oct 11, 2012
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 50,955
  Likes Received: 23,831
  Trophy Points: 280
  Mlevi, mhudumu wa gesti.
   
 6. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #6
  Oct 11, 2012
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  aaah! Babu..hahahahhha
   
 7. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #7
  Oct 11, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,036
  Trophy Points: 280
  Asprin.....kasisi wa kanisa la pentekoste....anayependa kuhubiri muda mrefu mpaka waumini wanasinzia........
   
 8. Madame B

  Madame B JF-Expert Member

  #8
  Oct 11, 2012
  Joined: Apr 9, 2012
  Messages: 24,128
  Likes Received: 4,995
  Trophy Points: 280
  tangu nizaliwe siijui gesti na kunywa sinywi achilia mbali kungonoka.
   
 9. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #9
  Oct 11, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,036
  Trophy Points: 280
  Ha....!!
   
 10. Madame B

  Madame B JF-Expert Member

  #10
  Oct 11, 2012
  Joined: Apr 9, 2012
  Messages: 24,128
  Likes Received: 4,995
  Trophy Points: 280
  we we we we,
  vp B'day ya SL,
  ulifika home salama?
   
 11. Madame B

  Madame B JF-Expert Member

  #11
  Oct 11, 2012
  Joined: Apr 9, 2012
  Messages: 24,128
  Likes Received: 4,995
  Trophy Points: 280
  Yaani in short, Virgin,hata Rutta anajua maana yake ndo nalala nae.
   
 12. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #12
  Oct 11, 2012
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 50,955
  Likes Received: 23,831
  Trophy Points: 280
  Umesamehewa dhambi zako zote ulizotenda na utakazotenda mpaka jumapili isipokuwa ya kuzini na waume za watu.

  Niko kwa Daa Express nakuja pande hiyo. Get prepared and do the needful.
   
 13. Mr Rocky

  Mr Rocky JF-Expert Member

  #13
  Oct 11, 2012
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 15,186
  Likes Received: 570
  Trophy Points: 280
  Asprin bora uishie huko huko huku hatutaki na wala hakuna wa kufanyia ukaguzi
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 14. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #14
  Oct 11, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,036
  Trophy Points: 280
  na iwe kama ulivyonena......Amen....
   
 15. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #15
  Oct 11, 2012
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 50,955
  Likes Received: 23,831
  Trophy Points: 280
  Naona unamzungumzia Madame B ambaye bado kuzaliwa.

  Na ile tabia yako ya kipica chabo watu wakingonoka ushaiacha? Nakumbuka walivokupopoa na spoku pale VIP gest. Hivi wangekutoboa macho ungemwambia nini mama?
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 16. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #16
  Oct 11, 2012
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 50,955
  Likes Received: 23,831
  Trophy Points: 280
  Vigezo na masharti kuzingatiwa. Hebu msome Preta hapo juu.

  FYI neno la Preta ni amri Atown na lina baraka za Bikira Maria. Akisema Filipo anatia muhuri, PakaJimmy anaweka signature na Mzee wa Rula anahifadhi kwenye mafaili tayari kwa utekelezaji.

  Copy kwa Blaki Womani na sweetlady kwa utekelezaji zaidi.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 17. W

  Wimana JF-Expert Member

  #17
  Oct 11, 2012
  Joined: Jun 28, 2012
  Messages: 2,453
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 145
  Bishanga. Anayejisikia na mwenye maneno mengi kwenye keyboard lakini uso kwa uso muoga kupindukia.
   
 18. Mr Rocky

  Mr Rocky JF-Expert Member

  #18
  Oct 11, 2012
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 15,186
  Likes Received: 570
  Trophy Points: 280
  Hajapata baraka za wenye mji akina Arushaone na Erickb52
  na may be uingie kimya kimya usionekane ila kwenye viunga vya mji tutakusaka na mapanga maana machalii wa atown hawana huruma
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 19. charminglady

  charminglady JF-Expert Member

  #19
  Oct 11, 2012
  Joined: Apr 16, 2012
  Messages: 17,858
  Likes Received: 1,131
  Trophy Points: 280
  mh, nahitaji kujua hulka za fulani hapa. . . . hebu nitajieni!
   
 20. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #20
  Oct 11, 2012
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280
  Bishanga na vituko vyote ni Padri kanisani kwetu ....anaongoza kondoo wa bwana warudi kundini
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Loading...