Majina ya waliochaguliwa vyuo vikuu 2018/2019:

Hivi mnajua maana ya kuripoti??
Je unajua maana reporting day na deadline??

Elimu za maweni.
 
Wana jf Nina mkanganyiko kuhusu tarehe ya kuriport chuoni. Kulingana na chuo nilichopangiwa(sua) Ni tar 29 na pia nasikia baadhi ya taarifa za nje zinasema vyuo vyote Ni 27, ipi ni tarehe sahihi??
.
Screenshot_20181024-102101.jpeg
 
Wana jf Nina mkanganyiko kuhusu tarehe ya kuriport chuoni. Kulingana na chuo nilichopangiwa(sua) Ni tar 29 na pia nasikia baadhi ya taarifa za nje zinasema vyuo vyote Ni 27, ipi ni tarehe sahihi??
First year banah, mbona chuo kitu cha kawaida sana...tatizo mna mawenge sana
 
si mnasemaga "a real doctor treat more than one specie" sawa haina shida tunalisikiaga hilo dongo lenu anyway kapambaneni
 
Timetable hii hapa kwa 1st year
Yaani toka Jumatatu hadi Ijumaa sana sana unapata saa moja ya kutafuta msosi kati ya 0745 hrs na 1705 hrs na free vipindi 3 pamoja na saa moja ya msikitini Ijumaa. Hiyo ndio BVM na hiyo tarehe 5/11/2018 amini usi amini saa 1 na dikika 45 shule ina anza. Mliochaguliwa hongereni, muwe tayari kuchapa kazi, kama wengine walimaliza nanyi mtaweza lakini kujituma kwa ziada ni lazima.
 
Back
Top Bottom