Ugeni mbaya! Mtu amemaliza FVI lakini bado ana act kama FI. Wanafunzi wetu wa sasa hawana confidence kabisa na ndiyo inayomtesa mtoa hoja.Joining Instruction haujapata? Angalieni na qns zakuuliza
Any further advice??kwa mujibu wa guide book Ya TCU kama sijasahau wanaanzia GPA YA 3.O AU KWA UDSM WANAANZIA 3.5
No comment mr.Any further advice??
Tarehe ya chuo sio agano na mungu kwamba ni lazima ulifanye katika siku husika unaweza kwenda hata after more than three weeks kama michango yao haujaipata badoWana jf Nina mkanganyiko kuhusu tarehe ya kuriport chuoni. Kulingana na chuo nilichopangiwa(sua) Ni tar 29 na pia nasikia baadhi ya taarifa za nje zinasema vyuo vyote Ni 27, ipi ni tarehe sahihi??
Hebu weka sawa maana Laboratory tech zipo nyingi tu wewe umesomea ipi au Medical Lab Tech???Kama kichwa kinavyojieleza nilipata GPA ya 2.8 katika masomo yangu ya diploma ya Laboratorty Technology. Je, naweza kupata chuo na sasa hivi niko kazini?