Majina ya waliochaguliwa vyuo vikuu 2018/2019:

Majina ya waliochaguliwa vyuo vikuu 2018/2019:

Nenda kwenye tovuti ya chuo kuna namba zinakuwepo pale..mkikosa kabisa nifahamishe ameomba degree programme zipi ili iwe rahsi kupata namba za mawasiliano za college husika...
amefanya makosa kusahau password .pia udom system yao huwa inasumbua
 
Wengi walifurahia huu mfumo wa kuapply direct chuoni bila kujua madhara yake..kiukweli huu mfumo umekua faida kwa wachache ila wengi umewasomesha namba hadi za kirumi.wanafunzi wanaofanya application ni wengi hivyo system kucheza ni kawaida.,wanao control mitambo chuo nao ni binadamu wanachoka
 
Ninyi hampo serious imepelekea mpaka sasa hakuna chuo mlichopata nafasi,inakuaje form 6 mzima unasahau paswrd
 
Zile namba zote tumepiga zingine hazipokelewi zingine hazipatikaniki kabisa course anazotaka kuomba ni BCS of science in chemistry, in biology and science education
Nenda kwenye tovuti ya chuo kuna namba zinakuwepo pale..mkikosa kabisa nifahamishe ameomba degree programme zipi ili iwe rahsi kupata namba za mawasiliano za college husika...
amefanya makosa kusahau password .pia udom system yao huwa inasumbua
 
Kwani 4m 6 ndio nani mpaka asisahau mtu anasahau password ya benk yenye mamilion ya fedha hapo tunatakiwa tunasaidie ndio maana nimesema msaada kwann ww haujahi kusahau kitu chochote katika maisha yako???
Ninyi hampo serious imepelekea mpaka sasa hakuna chuo mlichopata nafasi,inakuaje form 6 mzima unasahau paswrd
 
duu apo uliharibu kufungua account ingine yalikua matumizi mabaya ya hela ulichotakiwa kuwapigia afu pale paale angeweka mamb vizuri na angekwambia weka password 1 mpaka 5
 
Nilikuwa UDSM leo... nimeuliza juu ya account yangu kosomeka kwamba nimechaguliwa kozi ya food science and technology(second round) na pia nimeshaconfirm... lakin pia nilipewa option ya kudownload admission letter lkn ilikuwa inajibu server error!... pia sikuwa kwenye ile list ya kuchukua admission letter pale main campus(JKN)... Kwa faida ya mwenye tatizo kama langu... walinitizamia na kusema nimechaguliwa lakin majina ya second round yamepelekwa TCU kwa ajili ya approval.. hivyo yakitoka ... na wao ndo watatoa list ya second round wanaohitajika kufika main campus na kuchukua admission letter... asanten na pia nakaribisha michango na maoni.
 
Wana jf Nina mkanganyiko kuhusu tarehe ya kuriport chuoni. Kulingana na chuo nilichopangiwa(sua) Ni tar 29 na pia nasikia baadhi ya taarifa za nje zinasema vyuo vyote Ni 27, ipi ni tarehe sahihi??
 
Joining Instruction haujapata? Angalieni na qns zakuuliza
Nahis hujaekewa mada mkuu, joining instructions zinasema 29, but kuna taarifa naipata kwa watu kuwa vyuo vyote wanafunz wanatakiwa kuripot tar 27
 
Back
Top Bottom