The_dexter
Member
- Aug 22, 2015
- 67
- 33
Shifting inawezekana ila mkopo sina uwelewa wa kutoshaHabari wasomi na wanazuoni hapa ndani
Bwana mdogo amechaguliwa Bsc in Nursing Collage of health pale Udom,ila dream zake ni kusoma Medical Doctor
SWALI
Anaweza kuomba nafasi za md za muhimbili compass ya mbeya bila kupata matatizo ya mkopo sababu mkopo wake upo udom