Soma IT
[emoji1317]
Soma IT
Then shift course uje computer science ndo utakuwa hacker mzuri, uje upambane na madata structures na ma algorithms pamoja na kernels. Wish yu the bestSawa mkuu ngoja nije kuwa hacker mzuri[emoji2]
Soma unachopenda mkuu lasivyo utakua unafanya kazi usioipenda na mafanikio yakawa hafifu.. Unaweza shift course hapo hapo NIT na wakakubali
Yea aichukue tu...akaingize kwenye codeAchukue na iyo avata[emoji28]
Okay mungu akutangulie [emoji120]Mkuu hapo hakuna nacho kipenda na maanisha hapo hakuna kitu cha ndoto yangu(future)ila na amini kwa kile kilicho mbele yangu kwa wakati huu na weza kupambana nacho, asante kwa ushauri mkuu
Tena sio hacker tu uje uwe Black Hacker na sio Gray hacker
Halafu awe Code MasterYea aichukue tu...akaingize kwenye code
dogo komaa na IT iko poaa sana ukikaza
Chukua IT
Hahahaha!! Hacker Hacker Hacker unazani unakua tu ndugu yangu, Bongo kwenyewe hackers ni 3% ila wengi wao ni watu wa tools tu za kutengenezewa na wenzetu mahacker wenyewe. Ok jiandae vizuri masomo sio magumu sana ila yanahitaji akili muda mwingi sana. Computer ni tamu ila uwe na moyo la sivyo utagraduate kichwan ni Microsoft Office tu. Karibu
Kwa lugha rahisi mfumo umeku chagulia your destiny pole sana!!Habari Jf.Baada ya mambo kuwa magumu katika suala zima la udahili wa vyuo nime fanikiwa kupata kozi ya IT chuo cha NIT,ila sijawahi kuwa na ndoto ya kusomea aya mambo ya technology,nili penda kusoma wildlife kutokana na tahasusi yangu ya CBG niliyo soma adavance.Naombeni ushauri wenu bora ni some ii IT nije kuongeza idadi ya wahitimu kitaa au ni change kwemda kozi ya logistic&transport management.
Then shift course uje computer science ndo utakuwa hacker mzuri, uje upambane na madata structures na ma algorithms pamoja na kernels. Wish yu the best
Yea aichukue tu...akaingize kwenye code
Okay mungu akutangulie [emoji120]
Good![emoji2]Mkuu na taka nione ugumu wa ivyo vitu,wakati na ingia advance nilikutana na vitisho vya organic chemistry kwa mabroo,nta soma mpaka jasho la mwisho[emoji3]
Kozi kama IT au Computer Science inahitaji mtu mwenye kujiongeza na juhudi za kudaka mambo mapya. Ukitegemea ya darasani, utaishia kujua kupiga windows na kujua kitumia Microsoft Office.
Unatakiwa ujiongeze kozi hizi hazina masuala ya bla bla. Mwendo wa coding mwanzo mwisho ukitaka kuwa vizuri...