Karibu mzee naona nia unayo, nipo ifm computer science.. Hope utakuwa vizuri.
worry out mkuu pamoja sana.Nta kutafuta kwa usaidizi wa mawazo zaidi
Karibu mzee naona nia unayo, nipo ifm computer science.. Hope utakuwa vizuri.
Kwa lugha rahisi mfumo umeku chagulia your destiny pole sana!!
Ila jiulize kwa nn kwenye top 10 list ya matajiri duniani hakuna mtu wa wildlife au logistic?
Somo ambalo nalipenda mpaka kesho, sema ukwasi umeipiga chenga family ndyo hvyo nipo mtaani mpaka leo
Komaa, mimi nikipata mdhamini ntaisoma hiyo kitu muda wowote nikiwa hai
Msuli wake naskia ni balaa MD chamtoto.
But hamna namna mwanaume kupambana hadi kieleweke
Hiyo control number ndio utakayo itumia kulipa tution fee yako. Ni kama kitambulisho chako kwenye system ya ulipajiM ni 1st year ifm nmeingia leo kwny account yangu ya chuo nmekuta hvy maana yake nnView attachment 915630
Yah zeroAnhaaaaa kwhy hapo inaonyesha mkopo huna au
Ila hyo ni ada umekosa haimaanishi umekosa kila kitu waweza pata au kosa meals and accommodation BoomYah zero
Hello everybody!!
Nlikua nataka kujua hii course inayopatikana SUA ya Bac Human Nutrition inadeal na nn??
Na Je ipo marketable???